Home Blog Page 2801
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe,  amewaomba Watanzania kuichangia Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo ipo Misri kwa ajili ya michuano ya #AFCON2019Mwakyembe amesema hayo leo Jumatatu, Juni 17, 2019 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu...
TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo huo ambao utapigwa Uwanja wa Gwambina, Mwanza utatumika kama sehemu ya kutambulisha vifaa vyao vipya walivyosajili.Simba ambao hadi sasa...
MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika ambaye atakuwa ni moto wa kuotea mbali zaidi ya Mganda, Emmanuel Okwi pamoja na Mnyarwanda, Meddie Kagere.Katika kufanikisha hilo...
KOCHA wa timu ya Taifa ya  Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa nyota wake Sadio Mane ataukosa mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa michuano ya Afcon ambao watacheza dhidi ya Tanzania Juni 23 saa 2:00 usiku.Mane ni staa wa Senegal...
KOCHA wa Azam FC, Etiene Ndayiragije amesema kuwa anahitaji kuboresha kikosi na hesabu zake ni kwenye kuongeza wachezaji wakali wenye uwezo.Ndayiragije amelamba mkataba wa kuionoa Azam FC akichukua mikoba ya Hans Pluijm kwa kandarasi ya miaka miwili."Kutokana na malengo...
GUMZO la mashabiki ni kwamba Beno Kakolanya anaweza kumuweka benchi Aishi Manula? Amesaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Lakini ametamka kwamba; “Moto utawaka.”Kakolanya kujiunga na Simba ni wazi vita ya namba itazidi kukolea kwenye kikosi hicho ambacho kinaongozwa na...
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe ameitaka klabu hiyo kumsajili straika wa Mwadui FC, Salum Aiyee kwani anaweza kusaidia lakini imevuja kwamba anakwenda Sweden.Tambwe ambaye ameitumikia Yanga kwa mafanikio makubwa ndani ya miaka mitano hana uhakika wa kubaki Yanga kwani...
IMEELEZWA kuwa uogozi wa Ndanda FC umeingia kwenye harakati za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Mwadui FC, Salum Aiyee kama ilivyo kwa Yanga, ili kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao.Aiyee amekuwa bora kwa msimu wa 2018/19 baada ya...

HOFU YA NAMUNGO IPO HAPA

0
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kuona kwamba timu yao inapata nafasi ya kuleta ushindani wa kweli hivyo kazi yao ya kwanza itakuwa ni kujilinda kutokushuka Daraja.Akizungumza na Salehe Jembe, Kocha Mkuu wa...
Kocha wa Algeria Djamel Belmadi amethibitisha kuwa amemtema kikosini kiungo mshambuliaji Haris Belkebla kwa utovu wa nidhamu. Kikosi cha Algeria kinaendelea kujifua kwaajili ya michuano ya Afcon, na kocha Belmadi amesema nidhamu ndio kipaumbele kwa sasa.Mbadala wa Belkeba kwenye...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS