Home Blog Page 2804
BODI ya Wakurugenzi ya Simba SC, Company Limited imetangaza rasmi kuanza usajili wa wachezaji wake wapya wakitumia ripoti ya kocha mkuu, Mbelgiji, Patrick Aussems.Hiyo, ikiwa ni siku chache mara baada ya kumalizika kwa kikao cha bodi hiyo kilichofanyika juzi...
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara mara mbili mfululizo Simba, msimu wa 2017/18-na 2018-19 wamepata mualiko wa kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21 dhidi Gwambina FC.Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya kuzindua uwanja wa timu hiyo ambayo inashiriki Ligi...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amesema viongozi wa Serikali hawatakiwi kuegemea katika klabu moja na kukandamiza nyingine kwa sababu zote ni za Watanzania na wao ni viongozi wa Tanzania.Kikwete amesema kuwa yeye akiwa...
KUELEKEA kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa, na Michezo, Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza hawatazidi watano.Sheria hii haitaangalia ukubwa wa timu iwe Yanga ama Simba, Lipuli,...
TIMU ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanaume na wanawake imewaomba watanzania kuwachangia fedha ili iweze kumudu gharama za kwenda Uganda kushiriki mashindano ya Kanda ya Tano (FIBA Zone V) yaliyopangwa kufanyika Juni 25 mwaka huu.Timu hiyo inatarajiwa...
Kutoka Young AfricansSalamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia 'kiroho mbaya', ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.Abdulaziz Makame, karibu Yanga, hongera kwa kujiunga na Mabingwa wa kihistoria.
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum kwaajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga kuitumikia jamii.Amesema wiki hiyo itakuwa ikifanyika mwezi Agosti...
Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuingia mkataba wa miaka na straika aliyekuwa anaicheza Polisi ya Uganda, Juma Balinya,Balinya amekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Uganda kwa msimu uliomalizika hivi karibuni.Ikumbukwe awali Balinya alitajwa kuhitajika Simba lakini kilichotokea imekuwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS