Home Blog Page 2805
UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla nyota wao wawili ndani ya kikosi hicho.KMC walianza jana kwa kumuongezea kandarasi ya miaka mitatu, Hassan Kabunda hivyo mkataba wake utamalizika mwaka 2022.Leo pia...
Nani kutangazwa leo kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi cha Simba kwaajili ya msimu ujao.Kipa#MchezajiNafasi1Aishi ManulaKipa2Beno KakolanyaKipaWoteMlinzi#MchezajiNafasi1Erasto E. NyoniMlinziWoteStraika#MchezajiNafasi1John R. BoccoStraikaWoteKumbuka baada ya Bodi ya Ligi...
MSHAMBULIAJI Mzambia, Walter Bwalya ambaye anatarajiwa kutua Simba siku chache zijazo amechambuliwa kuwa ni mmoja wa washambuliaji wazuri na mwenye uwezo mkubwa wa kufunga mabao uwanjani.Bwalya ambaye amekuwa akitajwa mara kadhaa, aliwahi kuhusishwa kutua Simba tangu msimu uliopita wakati...
SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani wa Simba, Zacharia Hans Pope na ndiye aliyemueleza kuwa Simba kuna kazi.Wakati shahidi huyo akiendelea kutoa ushahidi mbele ya...
Mambo ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa Klabu ya Simba hivi karibuni kuwaongezea mikataba baadhi ya nyota wake kwa ajili ya msimu ujao.Hata hivyo, wachezaji John Bocco, Erasto Nyoni na Aishi Manula ambao tayari wameongeza...
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa bado unamuhitaji kiungo wao mshambuliaji, Ibrahim Ajibu na kilichobakia ni yeye kuamua lini asaini mkataba wa kuendelea kukipiga Jangwani.Kauli hiyo imekuja ni baada ya tetesi kuzagaa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi...
KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.Akizungumza na Salehe  Jembe, Thiery amesema kuwa kwa sasa wameanza kufanya mazungumzo na wachezaji wao waliopandisha kikosi."Kwa...
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa umepokea ripoti ya kocha wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji hivyo kwa sasa wanaifanyia kazi taratibu. Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa makosa waliyofanya msimu uliopita hayatajirudia tena hivyo lazima wakaze...
KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Ammunike amesema kuwa kwa sasa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Zimbabwe utakaopingwa nchini Misri.Kwa sasa kikosi cha Stars kipo nchini Misri ambapo kimeweka kambi maalumu...
LEO Jumamosi, Juni 15, Kubwa Kuliko itazinduliwa rasmi ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es Salaam na wanachama pamoja na viongozi wa Yanga lengo likiwa moja kuichangia timu.Ikumbwe kwamba mchakato huu kwa mara ya kwanza ulizinduliwa na Kocha...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS