Home Blog Page 2808
MOHAMED Salah kwenye michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 anashika namba moja kwa mastaa wanaokipiga Premier League.Anapeperusha Bendera ya Misri ameanza kuitumikia timu ya Taifa mwaka 2011 na mpaka sasa amecheza jumla ya mechi 62 na amepachika...
MKONGWE katika gemu la Bongo Fleva, Dully Sykes,  amesema kuwa ngoma yake mpya ya Nikomeshe hajaitunga yeye bali ni ubunifu tu ameufanya kwenye kazi yake ya sanaa.Nyota huyo wa muziki wa vijana, amesema amekuwa karibu na Harmonize kwa ajili...
MABINGWA  wa Ligi Kuu England, Manchester City wataanza kutetea ubingwa wao dhidi ya West Ham wakati Manchester United itafungua ligi dhidi ya Chelsea Agosti 11 katika msimu wa 2019-20.Katika ratiba hiyo ya Ligi Kuu England iliyotolewa leo inaonyesha mabingwa...
Jana tarehe 12 June kilifanyika kikao cha Bodi ya Simba Sports Club Company Limited. Kikao hiki kilifikia maazimio mbali mbali juu ya maendeleo ya Klabu yetu.1.0 Taarifa juu ya maendeleo ya mabadiliko ya muundo wa Klabu kuwa kampuni (...
TUMEONA timu mbili kubwa hapa bongo ambazo ni Simba na Yanga, zimejitoa mashindano ya Kagame Cup ambayo mtetezi wake ni Azam FC.Hapa kuna kitu cha msingi cha kujifunza kwa kamati ya mashindano ambayo ipo chini ya katibu Musonye kujitathimini...
BEKI wa timu ya Yanga, Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema kuwa kwa sasa mipango yake ni kupata nafasi ya kucheza nje ya nchi ili kujaribu changamoto mpya.Ninja kwa sasa mkataba wake unakaribia kuisha ndani ya Yanga, ambapo Juni 15 siku...
MIAKA 39 si jambo jepesi kuamini kwamba ilikatika bila Taifa letu kuwa na mwakilishi kwenye michuano ya Afcon na hatimaye ndoto ya siku nyingi  imetimia sasa ni zamu yetu kuipeperusha Bendera.Ukizungumzia Taifa ni lazima liungane kwa ajili ya kuwapa...
ANAFICHA mimba! Ndivyo walivyosikika mashabiki waliomuona mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch kutokana na kuwa na tumbo kubwa hivyo kuibua gumzo kama lote kuwa ni mjamzito.Mara kadhaa Tanasha amekuwa na kigugumizi juu...
1. Mwanamtwa Kihwelo 2. Mohamedi Kampira 3. Makumbi Juma4. Mohamedi Hussein5. Saidi Maulidi6. Kenny Mkapa7. Petar Tino8. Selemani Kabulu9. Ally Yusuph Tigana10. Sunday Manara11. Omari Husseni Kegan12. Bona Bruno13. Rajabu Tangale14. Abubakar See16. Kipanya Malapa17. Edibily Lunyamila 18. Buruhani Hemedi 19. Salum Kusi20....
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS