Mshambuliaji nyota wa timu ya Taifa ya Namibia, Sadney Urikhob yuko katika hatua za mwisho kujiunga na Klabu ya Yanga.Wakati Urikhob akijiandaa kutia saini mkataba na klabu hiyo, beki Gadiel Michael ametia saini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia...
Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ahmed Ahmed amekamatwa na Polisi wa kuzuia rushwa nchini Ufaransa.Ahmad amekamatwa akiwa Hotelini Mjini Paris, Ahmed alikuwa kwenye hotel ambayo alikuwa akikaa wakati akihudhuria mkutano Mkuu wa FIFA.Taarrifa zinasema kuwa inadaiwa...
UONGO ZI wa wa timu yamanispaa ya Kinondoni, KMC umesema kuwa hauna tatizo na kocha Etienne Ndayiragije iwapo atahitaji kuondoka kwani ni maisha ya soka yalivyo.Imeelezwa kuwa Ndayiragije tayari amenaswa na uongozi wa Azam FC kwa ajili ya kubeba mikoba ya aliyekuwa...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utamtangaza kocha wa kikosi hicho hivi karibuni huku akidokeza kuwa anatoka ndani ya Ligi ya bongo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Popat amesema ni suala la muda kwa kuwa mipango ipo sawa."Kila...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hatokuwa tayari kufanya kazi na kocha mzawa ambaye atatafutiwa na viongozi wa Yanga.Zahera amesema ameskia taarifa za viongozi wa Yanga kuanza kufanya mchakato wa kumtafutia kocha msaidizi kwa ajili ya msimu...
MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Daudi Mashimo amemtaka Msemaji wa Timu ya Simba, Haji Manara kumuomba radhi msanii Amber Rutty baada ya kumkashfu mitandaoni.Hivi karibuni, Mashimo alisema Timu ya Simba haiwezi kuwa bingwa, lakini matokeo yakawa kinyume...
Na George MgangaBeki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe, ametemwa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.Kapombe aliumia siku kadhaa zilizopita kwa kujitonesha kidonda chake jambo ambalo lilisababisha Kocha Emmanuel Amunike amuondoe kwenye programu...
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amesema kuwa wanatambua kazi kubwa waliyopewa na Taifa hivyo watakwenda Misri wakiwa na lengo moja kupata matokeo chanya kwenye michuano hiyo ya Afcon itakayofanyika kuanzaia...
Kutokana na usajili wa kutisha ambao unafanywa na Yanga hadi sasa kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao, mshambuliaji Mkenya Duke Abuya ameweka wazi kwamba naye karibuni anaweza kuwa miongoni mwao.Mkenya huyo amekoshwa na aina ya usajili ambao unafanywa...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO ALHAMIS