Moja ya dhumuni kuu la tovuti yetu ni kusheherekea mafanikio ya watu ambao wanafanya vizuri katika ulimwengu huu wa soka kwa Tanzania. Toka mwanzo wa msimu wa Ligi Kuu Tanzania bara, tovuti imekuwa ikitoa zawadi kwa wafungaji...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa hauna haraka ya kufanya usajili kwa kuwa walikuwa wanasubiri ripoti ya mwalimu na tayari wameshaipata hivyo watatoa majibu kuhusu suala la usajili ikiwemo na suala la kumsajili nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu.Mwenyekiti...
NAHODHA wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta amesema kuwa mpango wa kuisaidia jamii utakuwa ni wa kudumu kwa kuwa ni sehemu ya maisha kuwakumbuka wahitaji.Samatta na Ali Kiba wameandaa mchezo maalumu wakiwa na kampeni yao inayokwenda kwa jina la...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba amesema kuwa sababu kubwa za kuandaa mchezo maalumu utakaochezwa jumapili uwanja wa Taifa ni kuisaidia jamii inayowazunguka.Alikiba na Mbwana Samatta wameandaa mchezo maalumu wakiwa na kampeni yao inayokwenda kwa jina la...
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa upo tayari kuwapa nyota wao Salum Aiyee hata bure endapo watakuwa wanahitaji saini yake msimu ujao.Yanga kwa sasa inatafuta mbadala wa Heritier Makambo ambaye amesepa Yanga akiwa amefunga jumla ya mabao 17 msimu...
Wakati maboresho ya kikosi cha Yanga yakiendelea kufanyika hivi sasa kwa kusajili wachezaji wapya, baadhi wametajwa kuondolewa kwa mkopo.Yanga hivi sasa imesajili wachezaji takribani saba wapya ikiwa na malengo makubwa ya kuurejesha ubingwa wake baada ya kuukosa kwa misimu...
MLINDA Mlango namba moja wa kikosi cha Biashara United, Nurdine Barola raia wa Burkina Faso anatarajiwa kujiunga na kikosi cha Namungo FC ambacho msimu ujao kitashiriki Ligi Kuu Bara.Barola alikuja bongo kwa lengo la kujiunga na Yanga dili lake...
Hii hapa orodha ya wachezaji wanaoelewa kuwa wataachwa Yanga siku yoyote kuanzia hivi sasa huku nafasi zao zikichukuliwa na wale wanaofanyiwa usajili hivi sasa.Pius BuswitaAmissi Tambwe Thabani Kamusoko Said Makapu Said MussaMatheo Anthony Juma Mahadhi Pato Ngonyani naBurhan Akilimali
KOCHA wa timu ya Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa bado hali ndani ya kikosi kwa upande wa uchumi haijakaa sawa ila amewajenga kisaikolojia wachezaji wake kubeba kombe la FA mbele ya Azam FC Juni Mosi.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola...