Home Blog Page 2888
TIMU ya Azam FC jana Jumanne, Mei 28, 2019 wamelipa kisasi baada ya kuifunga Yanga kwa mabao 2-0, mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania bara uliopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Bao la kwanza limefungwa na...
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji na mwekezaji wa timu hiyo, mfanyabiashara Mohammed Dewji wamekubaliana kwa pamoja kuipeleka timu hiyo nchini Marekani katika kambi ya maandalizi ya msimu ujao.Aussems amekubaliana hivyo na Mo baada ya kufanikiwa...
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bodi ya Ligi kabla ya michezo GD ya Stand United ilikuwa -9 na GD ya Kagera Sugar ilikuwa -11 matokeo ya LeoFT' JKT Tanzania 2-0 Stand United FT' Mbao FC 1-1 Kagera SugarMaana yake Stand...
BAADA ya kufanya vibaya msimu huu wa 2018/19, uongozi wa Real Madrid unakabiliwa na kibarua kigumu cha kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri msimu ujao.Real Madrid imekamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa La Liga ikiwa na pointi 19 nyuma ya...
Na Saleh AllyMABINGWA wa Ligi Kuu Bara kwa misimu miwili mfululizo sasa, Simba tayari wanakwenda kwenye usajili ambao utawalazimisha kuangalia kilicho sahihi zaidi.Wakati Simba wakiangalia kilicho sahihi lazima watakuwa wanapanda kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa maana ya ubora...
Wasanii maarufu nchini Nigeria, ambao ni mapacha Peter na Paul Okoye (P-Square) huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul ametumia picha ya mwenzake kwenye tangazo la tamasha lake nchini Angola.Peter ambaye ni mlalamikaji, amesema kuwa anatarajia kwenda mahakamani...
MABINGWA watetezi Simba leo wamekabidhiwa kombe la Ligi Kuu Bara na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho uliochezwa uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Kwenye mchezo wa leo, Mtibwa Sugar wamelazimisha suluhu...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS