Kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya shahidi aliyeandaliwa kufiwa na kushindwa kufika mahakamani.Kesi hiyo inawakabili hao waliokuwa viongozi wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange 'Kaburu' ambao wanakabiliwa na shitaka la kughushi na kutakatisha ...
MAHAKAMA imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya Serikali kushindwa kuleta shahidi.Kesi hiyo ilitarajiwa kuendelea leo Jumatatu ambapo shahidi wa 14 angetoa ushahidi wake kwenye kesi hiyo.Wakili wa Serikali kutoka Taasisi...
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango wa Mbao FC, Metacha Mnata amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga.Yanga kwa sasa ipo kwenye mpango wa kusuka kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao ambapo kwenye sekta ya mlinda mlango walikuwa...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, amesema kuwa mashabiki wake na watanzania wanastahili shukrani kwa kujitoa kwa hali na mali kufanikisha zoezi la mchezo wao wa hisani uliochezwa jana uwanja wa Taifa.Kiba alicheza jana uwanja wa Taifa...
BAADA ya Jana nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta kuongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya ndugu zake wa timu Kiba, Samatta amewashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi.Samatta na Ally...
STRAIKA wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameonekana katika mitaa ya jiji la Barcelona juzi na kuzua maneno. Baada ya kuonekana huko, ndio wadau wa soka wakadai kuwa Lacazette huenda ametua kukutana na viongozi wa klabu ya soka.Barcelona inajulikana inasaka straika wa kati na miongoni mwa...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
INAELEZWA beki wa kati wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ anatakiwa na moja kati ya timu zinazoshirikiLigi Kuu ya Zambia lakini amepatwa na kigugumzi kufuatia viongozi wa timu hiyo kumtaka kwanza atulie.Beki huyo amemaliza mkataba na timu hiyo baada ya...
Mkali wa filamu za Kibongo, Charles Magali ameibuka na kuweka wazi siri aliyokuwa ameificha toka utotoni na kudai kuwa aliwahi kumuwekea mwalimu wake upupu kwenye kiti chake.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Mzee Magali alisema katika maisha yake alikuwa mbabe tangu...
STRAIKA anayepambana kwa udi na uvumba arudishwe Yanga, Obrey Chirwa juzi Jumamosi aliipa Azam tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika.Chirwa amewaambia marafiki zake kwamba ana hamu sana ya kurudi Yanga lakini Spoti Xtra linajua kwamba Mwinyi Zahera amewaambia...