Trending Stories
View All
LUSAJO AFUNGUKA ISHU YAKE YA KUTUA YANGA
RELIANTS Lusajo, mshambuliaji wa Namungo FC amesema kuwa hana tatizo na Uongozi wa Yanga iwapo watamhitaji kwani yeye ni mchezaji…
WAWILI WAJIENGUA NDANI YA YANGA KWENYE NAFASI ZAO ZA UONGOZI
SHIJA Richard, Mjume wa Kamati ya Yanga inaelezwa kuwa amejiuzulu nafasi hiyo leo Machi 27 bila kuweka wazi sababu za…
MUUAJI WA SIMBA AJICHIMBIA DODOMA KUNOA KIWANGO CHAKE
GERAD Mdamu, mshambuliaji wa Mwadui FC kwa sasa amejichimbia mkoani Dodoma akiendelea kunoa kiwango chake wakati huu Ligi Kuu Bara…
CHELSEA ZAIWINDA SAINI YA MLINDA MLANGO MANUEL NEUR
MANUEL Neuer, mlinda mlango wa Bayern Munich ameingia kwenye anga za Klabu ya Chelsea ambayo inaiwinda saini yake. Frank Lampard,…
MABAO MAWILI YA KAGERE KATI YA 19 AMEFUNGA DAKIKA ZINAZOFANANA KIPINDI CHA PILI
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba kwenye mabao yake 19 ni mawili amefunga dakika zinazofana kwa kipindi cha pili. Simba ikiwa…
MORRISON: JUMA ABDUL ASINGENIACHIA, NISINGEIFUNGA SIMBA
Na Saleh Ally KATIKA Gazeti la Spoti Xtra jana Alhamisi, kiungo nyota wa Yanga, Bernard Morrison, alizungumzia mambo mbalimbali likiwemo…
YALIVYO MAPAMBANO YA MORRISON DHIDI YA CORONA AKIWA NYUMBANI
Na Saleh Ally UGONJWA wa Corona sasa ni tishio la dunia na unaona umelazimisha kusimama hadi kwa michezo mbalimbali duniani…
ISHU YA MGAO WA MKWANJA WA GSM YANGA YAFANULIWA NA VIONGOZI
DAVID Ruhago, Katibu Mkuu wa Yanga amesema kuwa suala la mgawao wa fedha kwa wachezaji wa Yanga wanapopata ushindi halipo…
JUHUDI ZA CHAMPIONI, SPOTI XTRA DHIDI YA CORONA ZIWE MFANO WA KUIGWA
NA SALEH ALLY JUZI niliitwa na Mkurugenzi na Mwenyekiti wa makampuni yaliyo chini ya Global Group, huyu ni Eric Shigongo…
HIZI HAPA DAKIKA ZA SAID NDEMLA NDANI YA LIGI KUU BARA ALIZOTUMIA KATI YA 2,520
SAID Ndemla kiungo wa Simba msimu wa 2019/20 ametumia dakika 270 sawa na mechi tatu uwanjani kwenye mechi za Ligi…
SAID MAKAPU ATAJA SABABU YA KUANZA KIKOSI CHA KWANZA NDANI YA YANGA
SAID Makapu, beki wa Yanga amesema kuwa kinachompa namba kwa sasa ndani ya kikosi cha Yanga ni kuaminiwa na Kocha…
KOCHA SIMBA: WACHEZAJI WASIOFUATA PROGRAMU WATAUA VIPAJI VYAO
KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji kufuata program walizopewa ili kulinda vipaji vyao.Ligi Kuu…
HARUNA NIYONZIMA: MASHABIKI WANAHITAJI FURAHA HATA KAMA TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mashabiki wanahitaji ushindi muda wote bila kujali kama wakati mwingine wachezaji wanapita…
SABABU YA KOCHA MAYANJA ALIYEIONOA KMC KUTWAA TUZOHII HAPA
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC ametwaa tuzo ya Kocha Bora kwa mwezi Februari akiwa na kikosi cha KFC…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
CAFU:NEYMAR NI MJUZI KULIKO MESSI KWA SASA
CAFU, nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil amesema kuwa Neymar Jr ni Habari nyingine kwa wachezaji wenye…