Trending Stories
View All
ISHU YA SALAH HAIJAPOA NDANI YA LIVERPOOL YAMUIBUA WENGER
KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amemtaka straika wa Liverpool, Mohamed Salah kuacha uchoyo wakati akiichezea timu yake. Kauli…
KIKOSI CHA STARS DHIDI YA BURUNDI HIKI HAPA
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Burundi1. Juma Kaseja2. Hassan Ramadhan3. Erasto Nyoni4. Kelvin Yondani5. Mohamed Hussein6. Jonas Mkude7.…
KAZI NDO KWANZA IMEANZA, CHIRWA AWA MTAMU KABLA YA KUWAVAA WAZIMBABWE
OBREY Chirwaa ameanza kuwa mtamu ndani ya Azam FC baada ya jana kufanya maajabu yake kwa kufunga ‘hattrick’ kwenye mchezo…
MASHABIKI MIA TANO KIMEELEWEKA LEO TAIFA, AZAM SIO WA MCHEZOMCHEZO
LEO timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stasr itashuka uwanjani kumenyana na timu ya Taifa ya Burundi kwenye mchezo wa…
AJIBU AINGIA KATIKA ANGA ZA MBELGIJI SIMBA
KOCHA wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems juzi kwa mara ya kwanza alianza kazi ya kukinoa kikosi chake na kuonekana akikazia…
ZAHERA AKATIWA RUFAA, MAZITO YAWEKWA HADHARANI
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umemkatia rufaa kocha wake Mwinyi Zahera kupinga kufungiwa kutokana na madai ya kutoa lugha chafu…
MBONA WATANYOOKA TU!! DE GEA WA YANGA KIMEELEWEKA CAF
Rasmi kipa namba moja wa Yanga, Farouk Shikalo ‘de Gea’ atakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kitakachoivaa Zesco ya nchini…
FALCAO NA SELEMAN KUPATA FEDHA ZA BURE TOKA CAF
Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa wachezaji hao wawili Molinga na Selemani wamewaandalia mgao wa Shilingi 100,000.Mgao huo wataupata …
YANGA YAZIMA HUJUMA NA JEURI ZA SIMBA
KAMPUNI ya GSM ambao ni wauzaji wa jezi za Yanga, leo (jana) wameingiza mzigo mpya wa jezi huku kukiwa na…
BANDA AFUNGUKA NAMNA USALAMA WAKE ULIVYO HUKO SAUZ
Na George MgangaBEKI Mtanzania anayekipiga katika Klabu ya Highlands Park ya Afrika Kusini, Abdi Banda, amesema hali iliyopo nchini humo…
STRAIKA ENGLAND AUKUBALI MZIKI STARS
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Burundi, Saido Berahino, ambaye aliwahi kuzicheza West Brom na Stoke City za Ligi Kuu…
WALIOTOKA YANGA WAWA PASUA KICHWA AZAM FC
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo linaipasua timu hiyo ni washambuliaji wake kutotumia…
MKE WA BANDA ASIMULIA MUMEWE ALIVYONUSURIKA NA XENEPHOBIA SAUZ
Mke wa beki wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anakipiga Highlands Park FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda, Zabibu…
MTOTO WA TAMBWE AIKATAA TIMU YA KARIAKOO
AMISSI Tambwe ni mmoja kati ya washambuliaji wenye rekodi na historia kubwa katika Ligi Kuu Bara kwa kipindi cha miaka…
YANGA HII LAZIMA UKAE, YAIONESHA JEURI SIMBA, MABILIONI HAYA YAINGIZWA
Uongozi mpya wa Klabu ya Yanga ulioingia madarakani chini ya mwenyekiti wake, Mshindo Msolla na makamu wake, Frederick Mwakaleba umefanikiwa…
NI SALAAAM, FALCAO AWEKA REKODI MWANZA YANGA IKIENDA SARE YA 1-1 NA PAMBA
Mechi ya kirafiki baina ya Yanga na Pamba SC imemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya mabao 1-1. Mechi hiyo…