TANO KALI ZA MWANZO KWA YANGA HIZI HAPA
TAYARI ratiba ya Ligi Kuu Bara imeshatoka na kila timu ishajua nani ataanza naye kwenye ligi msimu wa 2020/21.Hizi hapa mechi tano za kikosi...
BEKI YANGA ‘AJIFUNGA’ MWAKA MMOJA KMC
Andrew Vincent maarufu kama Dante ametambulishwa leo Agosti 18 ndani ya KMC kwa dili la mwaka mmoja kukipiga ndani ya kikosi cha wana Kino....
MECHI YA UFUNGUZI WA LIGI KUU BARA KUPIGWA AGOSTI 30
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Simba kwa msimu wa 2019/20 wanatarajiwa kukutana na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho, Namungo FC, Agosti 30,...
MUANGOLA HUYU AINGIA ANGA ZA YANGA
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Interclube ya Angola, Carlos Stenio...
SIMBA DAY AGOSTI 22 NI DHIDI YA TIMU YA BURUNDI,MAJEMBE HAYA KUTAMBULISHWA
AGOSTI 22, Klabu ya Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Klabu Vital'O FC ya kutoka nchini Burundi.Mchezo hui utapigwa Uwanja...
NDEMLA ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA
Said Ndemla ametengeneza ushirikiano mkubwa na klabu ya Simba kando ya Jonas Mkude, Said Ndemla ndio mchezaji aliyehudumu mfululizo kwa miaka mingi kuliko mchezaji...
MAJEMBE MAPYA YA YANGA KUTUA MAPEMA KABLA YA SEPTEMBA SITA
BAADA ya Yanga kumalizana na majembe mawili ya kazi kwa dili la miaka miwili jana, Agosti 17 nchini Congo nyota hao wanatarajiwa kutua kesho,...
ALICHOFANYWA BEKI ALIYESAINI DILI JIPYA NA YANGA ACHA KABISA, MABOSI WAMPOTEZEA
HALI imeenda ndivyo sivyo katika usajili wa Eric Rutanga baada ya beki huyo kusema kuwa mabosi wa Yanga wamemchunia tangu asaini mkataba wa awali...
AUBAMEYANG AKUBALI KUBAKI ARSENAL
NAHODHA wa Klabu ya Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang amekubali kusaini dili jipya la miaka mitatu ndani ya Klabu hiyo.Nyota huyo alikuwa kwenye mpango wa kuondoka...
HIZI HAPA MECHI TANO ZA MWANZO ZA AZAM FC
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 6,2020 kwa msimu wa 2020/21.Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba wao wataanza...