JEMBE LINGINE LINALOTAJWA KUMALIZANA NA SIMBA HILI HAPA
CRISS Mugalu raia wa Congo anayekipiga ndani ya Klabu ya Power Dynamo ya Zambia inaelezwa kuwa amemalizana na Simba. Mugalu anatajwa kumalizana na Simba...
JEMBE LA YANGA LATUA NAMUNGO FC
JAFFARY Mohamed rasta aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Yanga ameibukia Namungo FC baada ya kuachwa na Yanga. Nyota huyo ambaye ni kiraka amesaini...
SHARAF SHIBOUB ATAJWA KUINGIA ANGA ZA YANGA,NDANI YA SIMBA PANGA LINAMHUSU
SHARAF Shiboub, kiungo wa Simba aliyeibuka ndani ya kikosi hicho akitokea Sudan, shujaa wa mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC anatajwa...
DAVID MOLINGA HAKUPENDA KUSEPA NDANI YA YANGA
DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Yanga kwa msimu wa 2019/20 amesema kuwa hakupenda kuondoka ndani ya kikosi hicho mapema. Akiwa...
KOCHA MPYA YANGAA MZIGONI WIKI IJAYO,MORRISON AANZA KAZI SIMBA, NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
BREAKING: BWALYA ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI
LARRY Bwalya kiungo aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia amemalizana na Simba kwa dili la miaka miwili leo Agosti 15.Nyota huyo ametua...
KIPA NAMUNGO FC AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR NA RUVU
Adam Oseja kipa namba mbili wa Namungo FC ya Lindi anasema kuwa msimu wa 2019/20 ulikuwa na ushindani wa kipekee ana imani 2020/21 atafanya...
DAVID KAMETA MAARUFU KAMA DUCHU ATUA SIMBA
DAVID Kameta maarufu kama Duchu leo Agosti 15 ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Simba.Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili kwa Mabingwa wa...
BWALYA WAHUSISHWA KUIBUKIA YANGA NA SIMBA
INAELEZWA kuwa Larry Bwalya na Walter Bwalya wote raia wa Zambia wapo kwenye rada za kuibukia ndani Simba na Yanga.Larry Bwalya mwenye miaka 25...
BREAKING:KIGOGO YANGA APIGWA CHINI MAZIMA
TAARIFA kutoka Yanga kumtimua Ofisa Masoko ndani ya Klabu ya Yanga