MOLINGA AIBUA MAPYA NDANI YA YANGA,HUKO MSIMBAZI KUMEKUCHA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
DAVID Molinga aibua mapya ni kesho ndani ya Championi Jumamosi
UJUMBE WA RUVU SHOOTING HUU HAPA
UONGOZI wa Ruvu Shooting, umesema kuwa upo tayari kwa michezo yote iliyobaki kusepa na pointi tatu muhimu.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu...
MOLINGA NA EYMAEL WAFIKA KANDA YA ZIWA
KOCHA Mkuu wa Yanga na mshambuliaji namba moja wa Yanga kwa sasa wametia timu Mwanza ikiwa ni safari yao ya kuelekea Shinyanga.Safari yao imeanza...
AZAM FC KUSHIRIKIANA NA TFF MAADHIMISHO YA SIKU YA UTOAJI DAMU DUNIANI
KLABU ya Azam kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa pamoja wataadhimisha siku ya utoaji damu duniani, Juni 14 mwaka huu.Azam FC...
SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU MOLINGA, YAICHOKONOA YANGA KIMTINDO
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa Yanga wanamkosea David Moliga kwa kumzungushazungusha licha ya kwamba ni mchezaji mzuri ndani ya timu hiyo.Juni...
BERNARD MORRISON AONGEZA IDADI YA WATAKAOUKOSA MCHEZO WA MWADUI FC
BERNARD Morrison, anaongeza orodha ya wachezaji wa Yanga watakaoukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mwadui FC.Wengine ambao wataukosa mchezo huo ni pamoja na Papy...
WAWA AIPIGA MKWARA MZITO AZAM FC
BEKI wa kazi wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, amebainisha kwamba licha ya ugumu ambao watakutana nao kwenye mechi dhidi ya Azam FC, hakuna...
HIVI NDIVYO BAO LA MORRISON LILIVYOTINGA BUNGENI
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, Juni 12, 2020 katika kufungia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2020-2021 alikumbusha bao...
NAMUNGO:HAITAKUWA RAHISI KUPAMBANA NA COASTAL UNION
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo amesema kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union utakuwa mgumu ila watapambana kupaa matokeo.Namungo...
MKUDE KUIKOSA RUVU SHOOTING TAIFA
JONAS Mkude, kiungo mkabaji wa Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili baada ya kupata majeruhi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi...