ALLIANCE FC WAIPIGIA HESABU NDEFU NAMUNGO
KESSY Mziray, Kocha Mkuu wa Klabu ya Alliance School amesema kuwa wameanza kufanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya robo fainali...
KAGERA SUGAR YALIPIGIA HESABU KOMBE LA SHIRIKISHO
UONGOZI wa Kagera Sugar unesema kuwa utapambana kwa nguvu zote ili kusepa na Kombe la Shirikisho msimu huu ili waiwakikishe nchi kwenye michuano ya...
MORRISON ATIKISA YANGA,NDANI YA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili lipo mtaani usipange kukosa jipatie nakala yako jero kama jero.
JEMBE LILILOTUA USIKU WA LEO SIMBA KUUNGANA NA WENZAKE MAZOEZINI
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amerejea Bongo akitokea Kenya usiku wa kuamkia leo ataungana na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya leo yatakayofanyika kwenye...
TUSIJISAHAULISHE CORONA BADO IPO, KILICHOBAKI TUMALIZE MSIMU HUKU TUKICHUKUA TAHADHARI
KUNAPOTOKEA tatizo lolote unaomba msaada na ukija huwezi kuchagua ni yupi anakuletea huo msaada.Unachotaka wewe ni kulitatua hilo tatizo lako ili maisha mengine yaendelee...
KIKOSI KAZI CHA KELVIN YONDANI WA YANGA KINA BALAA, WAWILI WA SIMBA NDANI
HIKI ndicho kikosi cha kwanza cha mkongwe ndani ya Klabu ya Yanga anayekipiga pia ndani ya timu ya Taifa ya Tanzania Kelvin Yondani.Naye pia...
AZAM FC IPO KAMILI GADOGADO
MATAJIRI wa Dar es Salaam, Azam FC wameanza mazoezi kwa ajili ya kujiaandaa kumalizia vigongo vyao 10 ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na...
HII HAPA MITAMBO MINGINE YA MABAO NDANI YA SIMBA
SIMBA iliyo chini ya Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck, wachezaji wake wengi walikuwa wameanza kujenga ushkaji na nyavu kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kutokana...
BEKI WA NKANA FC, HASSAN KESSY ATAJA ATAKAPOKUWA IWAPO DILI LAKE LITABUMA NKANA
HASSAN Kessy, beki wa Nkana FC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Zambia amesema kuwa akikwama kubaki ndani ya klabu hiyo ataibukia Afrika Kusini.Mkataba wa...
HUYU HAPA NI MBABE WA SARE, YANGA NA SIMBA WANAJUA SHUGHULI YAKE
TANZANIA Prisons, iliyo chini ya Kocha Mkuu Adolf Rishard ndani ya Ligi Kuu Bara ni mabingwa wa kulazimisha sare kwenye mechi zao.Wamecheza jumla ya...