JACK GREALISH ANAITAMANI MANCHESTER UNITED
JACK Grealish, kiungo wa Aston Villa ambaye ni nahodha wa Mbwana Samatta ameonyesha nia ya kujiunga na Klabu ya Manchester United ambayo inaelezwa kuwa...
AMIS TAMBWE ANATAKA KURUDI YANGA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Mrundi Amiss Tambwe amefunguka kuwa bado ana ndoto za kurejea Yanga.Tambwe anasema katika moyo wake...
HAYA NDIO MABAO ANAYOYATAKA NYOTA HUYU WA SIMBA
KIUNGO wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ya kupiga mashuti ya mbali katika kipindi hiki cha Corona kwa kuwa anatamani kuona...
KAGERE, HITIMANA MAMBO BADO MAGUMU KWAO
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC na mshambuliaji namba moja wa Simba, Meddie Kagere mwenye mabao 19, wote raia wa Rwanda mambo kwao...
RASTA ANAYEZICHANGANYA SIMBA, YANGA NA AZAM FC ATAJA ATAKAPOMWAGA WINO
BARAKA Majogoro, Kiungo wa Polisi Tanzania amesema kuwa msimu ujao ana imani atabaki ndani ya timu yake hiyo kwa kuwa ina nafasi kubwa ya...
YANGA YATAJA SABABU YA KUKAMIA MECHI KUBWA
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa sababu kubwa inayomfanya awe tofauti kwenye mechi kubwa za kitaifa na kimataifa ni maamuzi yake kutumia uwezo...
AFC ARUSHA YAIANGUKIA TFF
UONGOZI wa Arusha FC,(AFC) inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza umeliomba Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kuwakumbuka katika wakati huu wa janga la Corona kwa kuzipa...
MANULA NA KAKOLANYA UWANJANI WAPO NAMNA HII
AISHI Manula amekaa langoni kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara.Beno Kakolanya amekaa langoni kwenye mechi saba. Simba ikiwa imecheza mechi 28 imefungwa mabao 15.Manula...
BADO ANAKUMBUKWA HISTORIA YAKE ITABAKI PALEPALE SIR FERGUSON
KWENYE maisha yake ya kuwa Kocha Mkuu, jana, Mei 8, 2013 miaka saba iliyomeguka alitangaza kustaafu kwenye nafasi yake aliyokuwa. Sir Alex Ferguson alitangaza kujiuzulu...
CHAMPIONI TUNAENDELEA KUJALI VITA DHIDI YA CORONA KWA VITENDO
TUNATAMBUA umuhimu wa afya za wasomaji wetu pamoja na Watanzania wote kwa ujumla. Tunajua janga la Virusi vya Corona ni adui wa afya na...