FUNDI HUYU WA CONGO KUTUA YANGA, NI YULE ALIYELETWA KININJA NA SIMBA
INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mchakato wa kusaka saini ya kiungo Fabrice Mugheni, raia wa DR Congo.Mugheni ni miongoni mwa viungo bora...
KIBAYA WA MTIBWA SUGAR ATAJA ATAKAPOKUWA MSIMU UJAO
JAFFARY Kibaya, mshambuliaji wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ataendelea kubaki ndani ya klabu hiyo msimu ujao kutokana na kufurahia maisha anayoishi hapo alipo kwa...
CR 7 KARANTINI YAMUHUSU
NYOTA anayekipiga ndani ya Juventus, Cristiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wanaoshiriki Serie A wakiwa wamenaza mazoezi.Ronaldo alikuwa kwao Ureno kwa mapumziko baada...
HUYU HAPA DILUNGA ANAFUNGUKIA DILI LAKE LA KUIBUKIA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Hassan Dilunga, amesema kuwa kwa sasa hafikirii kurejea tena Yanga na akili zake amezielekeza kucheza soka la kulipwa nje ya...
YANGA YAMKUMBUKA GHAFLA MAKAMBO
JUMA Abdul, nahodha wa Yanga amesema kuwa anakubali uwezo wa Heritier Makambo atafurahi pale atakapojiunga na kikosi hicho msimu ujao.Makambo alikipiga ndani ya Yanga...
BEKI ANAYEZICHANGA SIMBA NA YANGA AFICHUA SIRI YA KUTUSUA
BAKARI Mwamnyeto, beki chipukizi ndani ya Coastal Union iliyo chini ya Juma Mgunda amesema kuwa siri kubwa ya kiwango chake ni juhudi pamoja na...
MANCHESTER UNITED WACHEZAJI WAAMBIWA WAJIANDAE KUFUA JEZI
TAARIFA zinaeleza kuwa Ligi Kuu ya England inaweza kurejea Juni 8 ambapo kutakuwa na maandalizi mafupi ya muda wa wiki tatu kwa timu shiriki...
MAJEMBE HAYA MANNE YA KIMATAIFA YAKUBALI KUTUA YANGA MAZIMA, GSM WAWEKA NENO
Kwa majembe haya ya kimataifa Yanga washindwe wenyewe kwani yamekubali kutua:- Sven Yidah yeye nikiungo anakipiga ndani ya Kariobang Sharks.Tuisila Kisinda yeye ni winga...
FEI TOTO AKUBALI KUTUA SIMBA KWA MASHARTI
FEISAL Salum, 'Fei Toto' kiungo anayekipiga ndani ya Yanga ambaye miongoni mwa viungo anaowakubali ni pamoja na Clatous Chama anayekipiga ndani ya Simba ameonesha...