MTIBWA WAKAZA, WAGOMA KURUDI KAMBINI KWA SASA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa hauna mpango wa kurejea kambini kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimesababisha ligi kusimamishwa...
LUSAJO BANA, APATA KIGUGUMIZI KUZUNGUMZIA DILI LAKE LA YANGA
RELLIANTS Lusajo, mshambuliaji namba moja wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa hawezi kuzungumzia juu ya dili lake la kutua ndani ya Klabu ya...
YANGA WAMTAJA MCHEZAJI WA SIMBA KUWA NDIYE BORA NDANI YA LIGI KUU BARA
HARUNA Niyonzima, kiungo anayekipiga ndani ya Yanga amemtaja mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere kuwa ndiye mchezaji wake bora zaidi wa kigeni ambaye amewahi kucheza...
CORONA YAMPA MATESO PIA HAJI MANARA, MAWAZO YAKE YAPO HIVI
OFISA Habari wa Klabu ya simba, Haji Manara amefunguka kuwa anakosa amani kila anapowaza janga la Virusi vya Corona kwa kuwa hajui litakwisha lini.Manara...
NONGA ASEPA ZAKE IRINGA, AJICHIMBIA MBEYA NA FAMILIA
PAUL Nonga, nahodha wa Klabu ya Lipuli, amesema kuwa kwa sasa amesepa ndani ya mkoa wa Iringa na kujichimbia Mbeya akiwa na familia yake. Nonga...
ZFF WATOA ANGALIZO TFF MGAWO WA MAMILIONI YA FIFA
SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limetoa angalizo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhusu mgawo wa dola laki tano (zaidi ya Sh bilioni moja) zinazotolewa...
LIVERPOOL INA NAFASI YA KUTWAA TAJI LA ENGLAND, KUNA MPANGO WA KUPUNGUZA DAKIKA 90
LIVERPOOL iliyo chini ya Kocha Mkuu, Jurgen Klopp inapewa nafasi kubwa ya kusepa na Kombe la Ligi Kuu England msimu huu wa 2019/20.Ipo nafasi...
YANGA YAPANIA KUFANYA USAJILI MKUBWA MWAKA HUU, HAWA HAPA HUENDA WAKATUA
UONGOZI wa wana familia ya Yanga ambao umekuwa ukiipa sapoti timu hiyo katika masuala ya usajili kampuni ya GSM umesema kuwa una mpango wa...
MPANGO WA KUREJESHA LIGI,TFF KUNA UMUHIMU WA KUWA NA MKAKATI WA KIPEKEE KULINDA AFYA...
HATMA ya Ligi Kuu Bara bado haijulikani itakuaje kwa sasa kutokana na mambo mengi kusimama na kushindwa kuendelea kufanyika kama ilivyokuwa awali.Sababu kubwa ya...
MECHI 10 ZA SIMBA ZILIZOBAKI HIZI HAPA
HIZI hapa za Simba mkononi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/201. Simba vs Ruvu 2. Simba vs Mwadui3.Mbeya city vs Simba4.T.Prison vs Simba5.Ndanda vs...