NDOTO ZA KAHEZA NI KUKIPIGA NJE YA BONGO
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa ndoto zake ni kuwa mchezaji wa kimataifa baada ya miaka mitano hapo mbele.Kaheza mwenye mabao saba...
MWANA FA:NIMEPONA CORONA, WADUDU WALINING’ANG’ANIA
HAMISI Mwinjuma maarufu kama Mwana FA mwimbaji wa Bongo Fleva, amesema kuwa kwa sasa tayari amepona maambukizi ya Virusi vya Corona alivyokuwa anauguza.FA alikuwa...
KAGERA SUGAR WAO WANAWAFUATILIA KWA MTINDO HUU WACHEZAJI
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wamekuwa wakiwafuatilia wachezaji wao kwa wakati huu ikiwa wanafanya mazoezi kupitia mitandao.Akizungumza na Saleh Jembe,...
KOCHA SIMBA: NGUMU KUWAFUATILIA WACHEZAJI KWA SASA
SELEMAN Matola, Kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa ni ngumu kwa sasa kufuatilia maendeleo ya wachezaji iwapo wanafanya mazoezi au la wakiwa nyumbani.Baada ya...
NGOMA BADO NGOMA NZITO AZAM FC
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC ameshikilia mkataba wa nyota wa timu hiyo Donald Ngoma.Cioaba raia wa Romania kwa sasa yupo zake likizo...
YANGA YAWAOMBA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amewaomba mashabiki kuendelea kufanya dua ili hali irejee kama zamani.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kutokana na...
MTUPIAJI NAMBA MOJA MBAO KUSEPA
WAZIR Jr, mshambuliaji namba moja ndani ya Mbao FC amesema kuwa iwapo timu yake itashuka daraja nafasi yake ya kubaki klabuni hapo itakuwa ndogo...
BEKI HUYU WA UGANDA ATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA YANGA
JUUKO Murshind, beki wa kati anayekipiga ndani ya Klabu ya Wydad Casablanca ya Morroco inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea Bongo mitaa ya Kariakoo...
WACHEZAJI KUWEKWA HOTELINI KWA MUDA WA WIKI SITA KABLA YA LIGI KUREJEA
IMEELEZWA kuwa wachezaji wote wanaoshriki Ligi Kuu ya England watawekwa ndani kwa muda wa wiki sita kabla ya ligi hiyo kurejea.Kwa mujibu wa mtandao...
WACHEZAJI BONGO VIWANGO VYAO KUSHUKA IWAPO WATASHINDWA KUFANYA HAYA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa iwapo wachezaji watashindwa kufanya mazoezi binafsi wakati huu wa mapumziko ya lazima kuna hatari ya...