OKWI KURUDI MSIMBAZI..? HANS POPE AMEFUNGUKA HAYA..!!

0
KUMEKUWA na tetesi kuwa straika wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi, anataka kurejea katika kikosi hicho msimu ujao.Okwi aliondoka Simba msimu uliopita baada ya...

KISA NKANA…WAZAMBIA WAMCHANA CHAMA KUWA SI MZALENDO

0
KITENDO cha kiungo wa Simba, Clatous Chama, kuwafunga Nkana na kuwatoa matika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, bado tukio hilo loinamtesa kwa mashabiki...

BEKI WA COASTAL UNION AZIPASUA KICHWA SIMBA NA YANGA

0
BAKARI Mwamnyeto, beki wa Coastal Union ameziingiza vitani timu za Kariakoo, Simba na Yanga ambazo zote zinaisaka saini yake.Mwamnyeto amekuwa kwenye hesabu kali na...

BEKI RUVU SHOOTING AJIWEKA SOKONI

0
BEKI wa kati wa timu ya Ruvu Shooting ya mkoani Pwani Santos Mazengo amesema kuwa, kwa sasa yupo huru kufanya mazungumzo na timu yoyote...

KMC KUONGEZA MASHINE MOJA YA KAZI

0
KOCHA wa KMC, Haruna Harerimana yenye maskani yake Kinondoni amesema kuwa anahitaji kupata saini ya mlinda mlango mpya atakayeongeza changamoto ndani ya kikosi chake.KMC...

BEKI SIMBA ATAKA KUCHEZA YANGA

0
ZANA Coulibaly, raia wa Ivory Coast amesema kuwa yupo tayari kurejea Bngo kukipiga ndani ya Yanga iwapo watahitaji huduma yake.Beki huyo alidumu Simba kwa...

UONGOZI WA TIMU BONGO WAOMBA MSIMU 2019/20 KUYEYUSHWA MAZIMA

0
Timu ya Arusha FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Bara, kupitia kwa Ofisa habari wake Bahati Msilu wameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kufuta...

BALAA LA SALAH LIPO NAMNA HII UWANJANI, KOCHA MKUU ATOA NENO

0
MOHAMED Salah, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Liverpool ametumia dakika 2,246 kabla ya Ligi Kuu England kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Ametupia...

HUYU HAPA AMELIONDOA JINA LA NDEMLA YANGA

0
IMEFAHAMIKA kuwa jina la kiungo mkabaji wa Mtibwa Sugar, Abdulhalim Humoud ‘Gaucho’ ndiyo limemuondoa Said Ndemla kwenye orodha ya majina ya usajili yaliyopendekezwa na...

SERGE NA SISSOKO WA SPURS WAKIUKA SHERIA YA UMBALI

0
NYOTA wa Spurs Serge Aurier na mwenzake Moussa Sissoko wamevunja Sheria ya umbali wa kufanya mazoezi katika kipindi cha maambukizi ya Virusi vya Corona.Kutokana...