YANGA MGUU SAWA KUELEKEA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mastaa wote wa timu hiyo waliopo Tanzania wataingia kambini mapema kabla ya kuanza mazoezi ya pamoja kuanza kuelekea kwenye...
SAFARI YA MABADILIKO YANGA YAPAMBA MOTO
UONGOZI wa Yanga umewaomba mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kuungana katika kuitimiza ndoto ya timu hiyo kuelekea kwenye mabadiliko.Mshindo Msolla, Mwenyekiti wa Klabu...
BREAKING:KAGERE ATUA DAR
MSHAMBULIAJI wa Simba Meddie Kagere amerejea leo Dar es Salaam na kupokelwa na Mratibu wa Simba Abass Ally akitokea Rwanda.
KUMEKUCHA JANGWANI, YAMALIZANA NA JEMBE HILI LA KINYARWANDA
WAKIWA tayari wana majina ya Michael Sarpong na Jules Ulimwengu wanaocheza Rwanda, wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, wamefanya jambo kubwa lingine kwa kuipa...
MWENYEKITI BIASHARA UNITED: TULIKUWA NA HALI MBAYA SANA
SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United ameshukuru kupokea msaada wa mipira 19 kutoka kwa Uongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya...
JEMBE JINGINE LA KAZI LINALOTUA SIMBA NI NOMA
MEDDIE Kagere mshambuliaji namba moja ndani ya Simba jina lake linatajwa pia kuwa miongoni mwa nyota ambao watarejea mapema kuungana na wachezaji waliobaki Bongo...
IDRISA SULTAN BADO ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI
JESHI la Polisi limesema linaendelea kumshikilia Idris Sultan aliyekamatwa Jumanne iliyopita akihusishwa na tuhuma za makosa ya kimtandao likiwemo la kujaribu kuharibu ushahidi.Mchekeshaji huyo...
MAMBO BADO HAYAJAWA SHWARI NDANI YA ENGLAND
TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu England kesho zinatarajiwa kupiga kura kuhusu maamuzi ya kurejea rasmi kwenye mazoezi ya pamoja ili kujiaandaa kumaliza msimu wa 2019/20.Kwa...
MWENYEKITI WA ZAMANI WA SIMBA RAGE HAJAFANYA MAAMUZI KUHUSU KUGOMBEA TENA UBUNGE
MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Rage amesema kuwa hajaamua mpaka sasa kama atagombea ubunge ama hatagombea kwa kuwa anapima upepo ajue...