AGUERO MTUPIAJI NAMBA MOJA NDANI YA CITY NA HESABU ZA KUSEPA
MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Sergio Aguero anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho pale mkataba wake utakapomeguka.Mkataba wake unafika tamati mwaka 2021 na inaelezwa kuwa...
HESABU ZA BIASHARA UNITED ZIPO NAMNA HII
BIASHARA United ya mkoani Mara ipo nafasi ya 10 ikiwa na pointi 40 kwenye Ligi Kuu Bara.Safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 21 huku...
AZAM FC WATOA TAMKO KUHUSU LIGI KUCHEZWA BILA MASHABIKI
THABIT Zakaria, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa hakuna tatizo iwapo Ligi Kuu Bara itarejea na kuchezwa bila mashabiki kwa kuwa imetokea ikiwa...
MTUPIAJI NAMBA MOJA MZAWA ANAPATA TABU KWELI
SALUM Aiyee akiwa ndani ya Mwadui FC msimu wa 2018/19 alitupia mabao 18 ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni mzawa namba moja kucheka...
ISHU YA AJIBU KUAMBIWA MVIVU KUMBE NI KITAMBO NA MWENYEWE ANAJUA
IBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa amekuwa akisemwa tangu akiwa nyumbani kuwa ni mvivu ila hakasiriki kwani anajua anachokifanya.Ajibu amesema ameanza kusemwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
ALIYEZICHONGANISHA SIMBA NA YANGA ANUKIA KUTIMKIA MOROCCO
KIUNGO wa Polisi Tanzania, anayewindwa na Simba, Yanga na Azam FC huenda akasepa zake na kuibukia Morocco kukipiga soka la kulipwa.Baraka Majogoro ambaye msimu...
SIMBA YAMRUHUSU AJIBU KURUDI YANGA KWA MASHARTI
MABOSI wa Simba wamesema kuwa wamemruhusu kiungo wao, Ibrahim Ajibu kuondoka muda wowote atakaohitaji na kwenda kujiunga na klabu nyingine itakayomuhitaji kwa masharti, ikiwemo...
HAWA HAPA WANAOWEZA KUUNDA KIKOSI CHA SH BILIONI MOJA YANGA
Yanga hivi sasa wanasubiria tu dirisha la usajili lifunguliwe, kwani tayari kibindoni wana kitita Sh Bil 1.5, ambazo wametengewa na wadhamini wao Kampuni ya...