WAWILI SASA WAONDOLEWA NDANI YA AZAM FC

0
IDD Cheche aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Azam FC ameondolewa kwenye benchi hilo la ufundi na kumuacha Kocha Mkuu Arstica Cioaba.Cheche ameondolewa kwenye benchi la...

GUARDIOLA; HAIKUWA RAHISI KUTWAA TAJI LA CARABAO MBELE YA ASTON VILLA YA SAMATTA

0
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester Ciy amesema kuwa haikuwa kazi nyepesi kushinda ubingwa mbele ya Aston Villa kwenye mchezo wa fainali ya Kombe...

MZUNGU WA SIMBA AFUNGUKIA HESABU ZAKE KUHUSU MECHI YA YANGA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa utaanza kuipigia hesabu Yanga baada ya kumalizana na Azam FC  kwenye mchezo wao wa Ligi utakaochezwa Machi 4, Uwanja...

YANGA YATUMA SALAMU HIZI KWA MBAO FC KESHO

0
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji mwenye miguvu akiwa ndani ya uwanja amesema kuwa akipata nafasi kesho mbele ya Mbao atapambana kuipa ushindi timu yake kwa kushirikiana...

CIOABA KWENYE MTIHANI MZITO MNDANI YA BONGO, JUMATANO

0
ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC, Jumatano ana kibarua kizito mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa...

USHNDI WA MABAO 2-0 MBELE YA NDANDA YAIPA JEURI MTIBWA SUGAR

0
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa kwa sasa klabu hiyo imerejea kwenye ubora baada ya kushinda mabao 2-0 mbele ya Ndanda...

CR 7 KUMBE AMEHUSIKA KICHAPO CHA BARCELONA YA MESSI MBELE YA REAL MADRID

0
LIONEL Messi nahodha wa Barcelona hakuwa na ujanja mbele ya wapinzani wake Real Madrid zaidi ya kushuhudia wakichapwa mabao 2-0 mchezo wao wa La...

UKATA WAITESA MWADUI FC

0
IMEELEZWA kuwa kinachoiponza Mwadui FC kushindwa  kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo ndani ya Ligi Kuu Bara ni hali ngumu ya kiuchumi ambayo wanaipitia...

BREAKING:KABLA YA KUWAVAA SIMBA, AZAM FC YAMUONDOA KIONGOZI WAO MMOJA

0
JAFFARY Maganga aliyekuwa Ofisa Habari wa Azam FC amebadilishiwa nafasi ya cheo chake.Maganga ameondoka kwenye nafasi hiyo ikiwa imebaki siku moja kwa timu ya...

VIGOGO WALITOLEWA JASHO KWELI KOMBE LA FA NA TIMU ZA LIGI DARAJA LA KWANZA

0
KOMBE la Shirikisho limezidi kupamba moto na kwa sasa tayari timu nane zimetinga hatua ya robo fainali ambazo ni Simba, Yanga, Azam FC, Ndanda...