ISHU YA CHAMA NA KANDA YANGA WAIKOMALIA, HUYU HAPA SAUTI YA MWISHO

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna mashaka iwapo Kocha Mkuu, Luc Eymael atapendekeza majina ya nyota wawili wanaokipiga ndani ya Simba ambao...

KOCHA COASTAL UNION AWATAKA WACHEZAJI KUCHUKUA TAHADHARI NA KULINDA VIPAJI VYAO PIA

0
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wake kufanya mazoezi kwa sasa kujiweka sawa licha ya kupitia kipindi...

MUUAJI WA SIMBA ABADILISHIWA MAZOEZI

0
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amebadilishiwa program na kocha wake, Luc Eymael ambapo kwa sasa anafanya mazoezi ufukweni.Morrison aliwafunga Simba kwenye mchezo wa...

VITALIS MAYANGA HAELEWI KILICHOMFANYA AWE BUTU NDANI YA KMC

0
VITALIS Mayanga mshambuliaji anayekipiga ndani ya Ndanda FC amesema kuwa mpaka sasa haelewi kilichomkwakmisha kufunga mabao alipokuwa ndani ya Klabu ya KMC.Mayanga alipewa dili...

GWIJI MANCHESTER UNITED AMPA TANO FERNANDES

0
GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes, amesifu mchango ulioletwa na Bruno Fernandes klabuni hapo, akisema raia huyo wa Ureno amekuja na kitu kilichokosekana kwa...

NYOTA WA GOFU APIGA HESABU ZA KUIBUKIA KWENYE BIASHARA KUINUA KIPATO

0
NYOTA wa gofu Afrika Mashariki na Kati anayekipiga katika klabu ya gofu ya Lugalo jijini Dar es Salaam, Angel Eaton, amesema mipango yake hivi...

KMC WAVUNJA KAMBI, WACHEZAJI WANAFUTILIWA KWENYE MITANDAO

0
UONGOZI wa KMC umesema kuwa unawafuatilia wachezaji wao namna wanavyofanya mazoezi kupitia makundi ya WhatsApp jambo ambalo linawafanya wazidi kufanya mazoezi zaidi.Ligi Kuu Bara...

MASAU BWIRE: TUSISAHAU KUOMBA ILI HALI IWE SHWARI

0
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ni wakati wa kila mtanzania kuomba kwa Mungu ili janga la Corona lipite na maisha...

UONGOZI WA SIMBA WAHITAJI KUONGEZA MASHINE MBILI ZA KAZI, MAJINA YAO HAYA HAPA

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa mpango mkubwa kwenye kuboresha kikosi chao kwa sasa ni sehemu ya mshambuliaji ili kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.Wakati Ligi...

YANGA WAMEAMUA, SASA KUMVUTIA KASI KIUNGO HUYU MATATA ANAYEKIPIGA TIMU YA TAIFA

0
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga inaisaka saini ya nyota wa Kariobangi Sharks FC Yidah Sven Yidah ili aongeze nguvu kwenye kikosi hicho.Nyota huyo ambaye...