KUMBE HUYU KOCHA NDIYO ALIYEMTOA BACCA…DUUH ALISEMWA VIBAYA
Wakati kocha Hemed Suleiman Morocco anatangaza kikosi cha Zanzibar Heroes mwaka 2017 ambacho kinaenda kushiriki mashindano ya CECAFA Senior Challenge pale nchini kenya kwenye...
ZAHERA AFUNGUKA SAKATA LA USAJILI WA MCHEZAJI HUYU YANGA…DIARRA HALI TETE
Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya 'cleansheet' kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye...
GAMONDI AFANYA KOSA HILI…MASHUJAA KUKUMBANA NA HILI…ISHU NZIMA HII HAPA
Kikosi cha timu ya Young Africans SC chenye wachezaji 20 na viongozi 11 wa benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu,
Miguel Gamondi, kesho Jumamosi...
WAKATI IBENGE AIKINUKIA SIMBA….MASTAA HAWA 9 KUPIGWA PANGA MSIMU UKIISHA…
KLABU ya Simba itaachana na nyota tisa mwishoni mwa msimu huu akiwemo kipa mmoja, mabeki wawili, viungo wawili, mawinga wawili na washambuliaji wawili.
Imeelezwa kuwa...
CHEZA PROMO YA NON STOP DROP KUPATA TSH MIL 450/=|SHIRIKI KWA KUCHEZA KASINO…
Jiunge na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa na Meridianbet Jiandae kwa sherehe ya zawadi za mamilioni ya pesa zisizoweza kufikirika.
Promosheni hii ya...
MENEJA WA KIBU DENIS AWACHANA LIVE SIMBA…KUMBE ISHU NZIMA IKO HIVI
Klabu ya Yanga imetuma ofa kwa uongozi wa mchezaji Kibu Denis ambaye amebakiza mkataba wa mwezi mmoja Simba SC.
Winga huyo mpaka sasa hajaongeza mkataba...
SIMBA SC KUMBE NI MAKAO MAKUU YA AZAM FC…AMRI KIEMBA AFICHUA SIRI HII
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds Media, Amri Kiemba amesema kuwa Klabu ya Azam inahofia kuibomoa ngome ya Simba kwa kuchukua wachezaji...
HOFU YATANDA KWA MASHABIKI SIMBA…WAHOJI YANGA WATAJWA WAFUNGUKA HAYA
Yuko wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu...
AUCHO AWAGEUKIA WACHEZAJI…”MKITAKA NIWE MTU MBAYA NITAFANYA HIVYO
Kiungo mkabaji wa Klabu ya Yanga, Khalid Aucho 'Daktari wa Mpira' amesema kuwa iwapo watu wanataka awe mtu mbaya basi atafanya hivyo.
Aucho ambaye ametoka...
“SIO KWAMBA NI MZURI SANA…MCHAMBUZI AMVAA AZIZ KI…MAGOLI KIPA WANAMBEBA
Mchambuzi wa michezo nchini kupitia TV3, Alex Ngereza amedai kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephanie Aziz Ki sio mzuri kwenye kupiga mipira ya kutenga...