Trending Stories
View All
NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58…MNAOSEMA SAIDO MZEE MPO WAPI?
‘Jobe, Fredy ni usajiri mbovu kwa @simbasctanzania , Saido umri umeenda” – Mzee Mwenda Nyota wa zamani wa Brazil na…
MSAUZI KUPEWA U-CEO SIMBA….KAJULA AANZA KUAGA WACHEZAJI….ISHU NZIMA IKO HIVI…
UONGOZI wa Simba wapo kwenye mchakato wa kutafuta Mtendaji Mkuu kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya kuja kuchukuwa nafasi ya…
ZA NDAAANIII KABISA….BARBARA , MKWABI KUCHUKUA NAFASI YA TRY AGAIN SIMBA…
ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Barbara Gonzalez na Sued Mkwabi wametajwa mmoja wapo huenda akaja kuchukuwa…
BENCHIKHA:- UKIACHANA NA YANGA…TANZANIA NZIMA INASHIDA YA WASHAMBULIAJI…
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amefunguka na kusema amegundua tatizo la kumalizia (ushambuliaji ) ni janga la nchini kwa…
MAFAZA WAIBEBA SIMBA KWA MKAPA…GAMONDI ATAMBIA REKODI YA 5G…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la leo la 18/4/2024 la Mwanaspoti kama lilvyoandikwa, kuchapishwa na kusambazwa na MCL.
EDO:- VIONGOZI SIMBA WANARUDIA SANA MAKOSA ….HAWAJUI TATIZO LILIPO..
Uongozi wa Simba SC umeendelea kupewa ushauri na kukosolewa kwa baadhi ya mambo ambayo yanadaiwa kuwa chachu ya kushindwa kufikia…
AZIZ KI AWABURUZA MUDATHIR NA BACCA…AJISHINDIA MAMILION KUTOKA KWA WADHAMINI…IPO HIVI
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stehpane Aziz Ki ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki wa Yanga kwa…
STAA YANGA:- PACOME ANATUMIA NGUVU NYINGI…CHAMA ANATUMIA AKILI NYINGI…ANAMCHAMBUA HADI KIPA
Staa wa zamani wa Yanga, Idd Moshi, ameingia katika mjadala ambao umekuwa ukiendelea tangu msimu huu uanze kwa mashabiki kila…
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA AFCON…WAZIRI ATHIBITISHA…MIUNDOMBINU YA KISASA KUJENGWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewaomba Watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na kuwa wenyeji wa…
AzAM FC YAPATA PIGO KUBWA…MCHEZAJI HUYU KUONDOKA…KUSAJILI MASHINE HII MPYA
Klabu ya El Merrikh inampango wa kumrejesha Mlinda lango wake anayekipiga Kwa Mkopo wa nusu msimu ndani ya Klabu ya…
MBUNGE:-“MNA CHAMA NA PACOME SISI TUNA MAMA SAMIA…AMEZUNGUMZA HAYA BUNGENI
Mbunge wa Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kutajwa kwa sababu ndiye mmiliki…
KOMBE LA SHIRIKISHO KUFUTWA… RAIS CAF “SIKUWEKA PESA MAKUSUDI…AMEFUNGUKA HAYA
Ishu ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), kutazamiwa kuyafuta mashindano yake ya pili kwa ukubwa ya Kombe la Shirikisho,…
SIMBA YAINGIA MITINI…YANGA YAPATIWA USHINDI WA MEZANI…VURUGU WACHEZAJI NA POLISI
Aprili 20, 2024, watani wa jadi wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, watakutana katika muendelezo wa ligi kuu kwa…
RASMI AZAM FC YATOA TAMKO HILI…KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MUUNGANO
Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam imetibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2024. Kupitia…
RAIS LA LIGA:- “ONYO BARCELONA HAMUWEZI KUNUNUA MCHEZAJI MNAYEMTAKA…MASTAA KUUZWA
Rais wa La Liga, Javier Tebas amewaonya Mabingwa wa Soka nchini Hispania FC Barcelona, kwa kuwasisitiza hawawezi kumnunua mchezaji wanayemtaka,…
KUMBE SIMBA WAMEWEKA KAMBI ZANZIBAR KWA SABABU HII…KIBADENI AFUNGUKA A-Z
Simba imeenda tena kuchukua maujanja Zanzibar kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii…