SIMBA YACHANGIA YANGA KUPOTEZA MBELE YA KMC NAMNA HII
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa walitumia nguvu nyingi kupambana na Simba jambo lililowafanya washindwe kusepa na pointi tatu mbele ya KMC.Yanga jana...
CORONA KWA KOCHA ARSENAL, BEKI JUVENTUS NI UJUMBE HADI LIGI KUU BARA
Na Saleh AllyUSIKU wa kuamkia jana imetangazwa kuwa beki wa klabu kigogo ya Italia, Juventus amebainika kuwa anaugua ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona.Huyu...
8-0 ZA SIMBA ZINA UJUMBE MZURI KWA MWIGULU NA WENZAKE
NA SALEH ALLYAWALI ilikuwa ni dalili lakini sasa tunaweza kusema uthibitisho umebaki ni kufungua mdomo tu lakini kila kitu sasa kipo wazi.Uwazi huo ni...
KOCHA MANCHESTER UNITED AKOSHWA NA MIGUSO YA IGHALO
ODION Ighalo nyota mpya wa Manchester United amezidi kuimarika ndani ya kikosi hicho baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye mchezo wa Europa League wakati...
SIMBA YAMPONZA MZUNGU WA AZAM FC
ARSTICA Cioaba,raia wa Romania, Kocha Mkuu wa Azam FC ametozwa faini ya kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la kugoma kuongea na...
HIZI HAPA MECHI 10 ZA SIMBA ZILIZOBAKI KUKAMILISHA MZUNGUKO WA PILI
KIKOSI cha Simba kikiwa kimecheza mechi 28 kimebakiza mechi 10 kukamilisha mzunguko wa pili.Mechi zake 10 zilizobaki watakutana na wapinzani hawa:-Simba v Ruvu ShootingSimba...
ARTETA KOCHA MKUU WA ARSENAL NA KIUNGO WA CHELSEA CALLUM HUDSON-0DOI WA CHELSEA WAGUNDULIKA...
KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta na kiungo wa timu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi wote wamegundulika na Virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo.Arteta...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
KILICHOIPOTEZA YANGA UWANJA WA UHURU MBELE YA KMC HIKI HAPA
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa sababu iliyowafanya wakapoteza mbele ya KMC ni kubadilishiwa uwanja uliopangwa kuchezwa awali jambo lililowaathiri kisaikolojia.Awali mchezo huo...