YANGA YAPEPERUSHA POINTI SITA KATI 18 ILIZOKUWA IKISAKA, SARE TATU MFULULIZO

0
YANGA kwenye mechi zake sita hivi karibuni ambazo ni sawa na dakika 540 kwenye Ligi kuu Bara imeshinda mechi tatu na kulazimisha sare tatu.Ndani...

MOURINHO ABEBA MATUMAINI LIGI YA MABINGWA LICHA YA KICHAPO

0
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa bado wana nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kupoteza...

SIMBA:TUPO TAYARI KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa maadalizi yao ya mchezo wa kesho dhidi ya Biashara United yapo sawa ni suala la wakati tu kutimiza malengo...

MZUNGU WA YANGA ATOA TAMKO HILI

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake watapambana kupata matokeo kwenye mechi zake zinazofuata kutokana na kugundua makosa waliyoyafanya.Yanga ipo nafasi...

MTIBWA SUGAR:: VIWANJA NI TATIZO,VIBORESHWE

0
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila  amesema kuwa kuna umuhimu wa sehemu za kuchezea kuboreshwa ili timu zicheze kwa kujiamini zikiwa ndani ya...

BOCCO:TUTAPAMBANA MBELE YA BIASHARA UNITED

0
NAHODHA wa Simba, John Bocco amesema kuwa kesho watambana mbele ya Biashara United ili kupata pointi tatu muhimu.Simba itaikaribisha Biashara United, Februari 22, Uwanja...

ANTONIO CONTE AMPA MANENO YAKE ERIKSEN

0
ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa Inter Milan amesema kuwa nyota wake mpya, Christian Eriksen anahitaji muda ili kuzidi kuwa bora ndani ya kikosi hicho.Eriksen...

WACHEZAJI YANGA WARUDISHA ZIGO LA SARE KWA UONGOZI WAO

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa matokeo yao ya sare wanayopata uongozi utafanyia kazi makosa yao.Februari 23 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Yanga itamenyana...

JEMBE LA KAZI SASA LAANZA MAZOEZI NDANI YA SIMBA

0
MZAMIRU Yassin, kiungo wa Simba ameanza mazoezi ili kurejea uwanjani kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Yanga.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa,...

BIASHARA UNITED WAIPIGIA HESABU HIZI SAFU YA USHAMBULIAJI YA SIMBA KESHO TAIFA

0
OMARY Madenge, Kocha Msaidizi wa Biashara United amesema kuwa mpango mkubwa kwa timu yake ni kupambana mbele ya Simba na kupata pointi tatu bila...