SINGIDA UNITED INATAFUTA DAWA YA TATIZO LAO
KIKOSI cha Singida United kilicho chini ya Ramadhan Nswanzurimo juzi kilibanwa mbavu na Namungo FC kwa kufungwa bao 1-0 mchezo wa Ligi Kuu Bara...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nbee Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
TAMKO LA KIUNGO YANGA JUU YA UBINGWA KUTUA KWAO MSIMU HUU
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda amefunguka kuwa, iwapo watashirikiana kwa pamoja wachezaji wote na benchi la ufundi ana uhakika wa timu...
ZAHERA AIBUKA NA YA KWAKE KUHUSIANA NA MORRISON
Kocha aliyewahi ifundisha Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka mambo kadhaa kuhusiana na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Bernard Morrison.
BIRTHDAY YA YANGA ILIVYOTIBULIWA
Bernad Morrison, mshambuliaji wa Yanga, juzi ameonyesha ushujaa wake mbele ya Mbeya City kwa kufunga bao la kiufundi kwenye sare ya bao 1-1 mchezo...
CORONA YAZIDI KUWA TISHIO KWA WAAFUNZI WATANZANIA, SERIKALI NCHINI YATOA TAMKO
Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amesema wanafunzi wanaosoma katika mji wa Wuhan hawawezi kurudi kwa sababu kuna katazo la kutoingia wala kutoka...
PACHA YA NCHIMBI NA MOLINGA ILIVYOIBUA MAKUBWA YANGA
Mastraika wawili wa Yanga, David Molinga ‘Falcao’ na Ditrim Nchimbi pacha yao ni kama imeanza kukubali baada ya kila mmoja kumjua mwenzake wakiwa uwanjani,...
SIMBA WAELEZA JUU YA UJIO WA FLORENT IBENGE, BOSI AFUNGUKA
Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa ameweka bayana kwamba kocha wao mkuu, Sven Vanderboeck ataendelea kubakia katika nafasi yake japokuwa wamekuwa wakihusishwa na kumtaka...
PAUL POGBA KUIWAHI MANCHESTER CITY
KIUNGO machachari wa timu ya Manchester United, Paul Pogba ana matumaini ya kurejea uwanjani baada ya wiki mbili na inatajwa kuwa atawawahi wapinzani wake...
LUC EYMAEL AKIAMSHA TENA, AWALALAMIKIA MBEYA CITY
Kocha wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa sababu iliyopeleka kushindwa kupata pointi tatu dhidi ya Mbeya City ni kutokana na aina ya mchezo waliocheza...