YANGA: RUVU WALIBAHATISHA, WASITARAJIE KUOKOTA DODO
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa Ruvu Shooting wasitarajie kuokota dodo chini ya mbuyu kesho Uwanja wa Taifa kwa kuwa mchezo wa...
ISHU YA SIMBA KUSHINDA DAKIKA ZA USIKU, SVEN ATAJA SABABU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wamekuwa wakishinda dakika za usiku kutokana na wachezaji wake kutokuwa makini ndani ya uwanja.Simba ambao ni...
KOCHA KAGERA SUGAR ATAJA KINACHOIBEBA TIMU YAKE, AWAPA TANO WACHEZAJI
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa kinachoibeba timu yake ndani ya Ligi Kuu Bara ni juhudi za wachezaji ndani ya uwanja.Kagera...
RUVU SHOOTING YAIPIGA MKWARA MWINGINE YANGA, YATAKA MABAO MENGI KINOMA
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa wanahitaji kushinda mbele ya Yanga kwa mabao zaidi ya mawili kwa kuwa wanajiamini.Kesho, Uwanja wa...
AZAM FC KUHAMISHIA HASIRA ZA PRISONS KWA KMC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa utapambana kupata pointi tatu muhimu mbele ya KMC watakapokutana kesho, Februari,8, Uwanja wa Uhuru.Azam FC itashuka uwanjani ikiwa...
JKT TANZANIA; MECHI YETU DHIDI YA SIMBA NI NGUMU, ILA TUNAZITAKA POINTI TATU
ABDALLAH Mohamed 'Bares', Kocha mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa mchezo wa kesho mbele ya Simba ni mgumu ila kikosi kipo tayari kupata ushindi.JKT...
MSHAHARA WA MORRISON YANGA ACHA KABISA NI NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MESSI AANZA KUNUKIA CITY, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa UKURASA wa Nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
YANGA WATANGAZA KUFANYA MAANDAMANO, SIMBA YATAJWA – VIDEO
Walichokisema mashabiki wa klabu ya Yanga kutokana na mwenendo wa mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara huku wakiwataja watani zao wa jadi Simba.
KOCHA YANGA ADAI KULIKUWA NA HARUFU ISIYOFAA VYUMBANI
Kocha wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael, amesema kuwa kulikuwa na harufu kali na isiyoeleweka katika vyumba vyao vya kubadilishia nguo juzi Jumatano, Februari...