SIRI YA AZAM FC KUIPIGA MWADUI HII HAPA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kikubwa kilichowapa ushindi jana mbele ya Mwadui FC ni kujituma kwa wachezaji.Azam FC jana ilishinda bao 1-0 mbele...
MBELGIJI WA SIMBA ATEGUA MTEGO WAKE KIMTINDO
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ametugua mtego wa dakika 180 kwa mechi mbili za kanda ya ziwa.Simba imecheza mechi mbili ambazo ni sawa...
AZAM FC BADO WANALITAKA KOMBE HILI LILILOPO MIKONONI MWAO
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kazi kubwa nyingine iliyopo mkononi mwao ni kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho ambalo...
MASHUJAA WAPANIA KUONYESHA USHUJAA WAKIPANDA LIGI
ATUNGO Manyundo, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC ya Kigoma amesema kuwa wataonyesha ushujaa mkubwa endapo watapanda ligi kuu msimu ujao. Mashujaa FC ilionyesha ushujaa mbele...
NAMUNGO WAIPIGIA HESABU NDEFU MBAO FC
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa unarejea kwenye uwanja wao wa nyumbani, Majaliwa maarufu kuiandalia dozi Mbao FC kwenye mchezo wao wa...
MCHEZAJI SIMBA ATUA LIPULI
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Mlinda Mlango, Deogratius MunishI ‘Dida’ ni miongoni mwa wachezaji wapya tisa waliojiunga na Lipuli FC...
WINGA MPYA SIMBA AANZA KAZI
Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba jana kimeingia kambini kujiandaa...
MITIHANI MITANO ATAKAYOKUTANA NAYO SAMATTA EPL YAANIKWA – VIDEO
Baada ya Samatta kusajiliwa Rasmi na Aston Villa, Samatta ambae ni mgeni wa ligi kuu ya England yenye mashabiki wengi dunia atakutana na vikwazo...
MAAMUZI YOTE YA UONGOZI WA MSOLLA YATAJWA KUWA MABAYA ZAIDI – VIDEO
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Yanga tangu kuanza kwa msimu huu ni mabaya.Zahera ameeleza kuwa maamuzi...
KIPA SIMBA ATAJWA KUFANYA MAAJABU POLISI
Baada ya kumsajili katika dirisha dogo la usajili, uongozi wa Polisi Tanzania umesema, unaamini golikipa aliyewahi kuichezea Simba, Peter Manyika ataisaidia timu yao kufanya...