KOCHA ZAHERA ASITUMIKE KAMA FIMBO YA KUIADHIBU YANGA KUWAFAIDISHA WACHACHE
NA SALEH ALLYUTAKUWA umesikia zile taarifa kwamba Kocha Mwinyi Zahera hawezi kurejea tena nchini kwa kuwa anaidai Klabu ya Yanga fedha zake, hivyo ameamua...
REAL MADRID WASITISHA DILI LA BALE KUTIMKIA CHINA
GARETH Bale bado yupoyupo ndani ya Real Madrid kutokana na uhamisho wake wa kujiunga na klabu tajiri ya China Jiangsu Suning kupotezewa.Bale alikuwa anahitajika...
NAHODHA STARS ABEBA MATUMAINI YA KUTOSHA KUFUZU CHAN
JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa kwa sasa akili zao ni kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Kenya unaotarajiwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele CHAMPIONI Jumatatu
BARCELONA WAIKANA TUHUMA YA KUMSAJILI KIBABE GRIEZMANN
BARCELONA imejitetea kuwa hawajafanya kosa lolote kumsajili nyota wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.Rais wa Barcelona, Josp Maria Bartomeu amedai kuwa Atletico Madrid hawana ushahidi...
KOCHA STARS ATAJA KILICHOWAZUIA KUPATA USHINDI MBELE YA KENYA
ETTIENE Ndayiragije, Kaimu Kocha wa timu ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa sare waliyoipata imetokana na kushindwa kutumia nafasi walizozipata hivyo ni muda wa...
ZAHERA ATAJA HATMA YA YONDANI NDANI YA YANGA
KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa beki wa kikosi hicho Kelvin Yondan hawezi kugoma kama ambavyo inadaiwa hivyo atajiunga ndani ya kikosi hicho...
HAZARD AMTABIRIA MAKUBWA NYOTA MPYA WA CHELSEA
EDEN Hazard nyota mpya wa Real Madrid amemtabiria makubwa winga mpya wa Chelsea, Christain Pulisic kuwa atafanya makubwa kwenye medani za soka. "Ni mchezaji mzuri...
LIVERPOOL: TUNA MECHI NYINGI MSIMU UJAO LAZIMA TUFANYE KWELI
JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao wana kazi ngumu ya kufanya ili kuweka rekodi mpya zaidi ya msimu uliopita.Kwa msimu wa...
YANGA YATUMIA MILIONI KUBORESHA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
TAWI la nguvu ya Buku la Yanga lenye makazi yake Mwananyamala jana limekabidhi msaada wa ukarabati wa Wodi ya Wanaume no.5 waliokuwa wakifanya kwa...