WAGENI 100 WAIGOMBANIA NAFASI YA AMMUNIKE, WAZAWA WAICHUNIA

0
WILFRED Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa mpaka sasa tayari wamepokea maombi ya makocha 100 wanaotaka nafasi ya kuinoa...

CEBALLOS ACHEKELEA KUIUNGA NA ARSENAL

0
DANI Ceballos mchezaji mpya wa kikosi cha Arsenal ambaye amejiunga kwa mkopo akitokea Real Madrd amesema kuwa ni wakati wake kuonyesha uwezo wake alionao.Ceballos amesema...

NYOTA SIMBA KUIBUKIA POLISI TANZANIA, ATOA MASHARTI MAGUMU

0
MARCEL Kaheza mshambuliaji wa kikosi cha Smba huenda msimu ujao akaibukia kikosi cha Polisi Tanzania.Kaheza amerejea kutoka Kenya baada ya kumaliza mkataba wake wa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

YANGA: TUNASHUSHA MUZIKI MNENE KUWAMALIZA WAKALI WA EVERTON

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa klabu ya Kariobangi Sharks sio nyepesi kwani iliwanyoosha Eveton kutoka England.Deo Muta, Katibu wa Kamati ya Hamasa amesema kuwa...

LEWANDOWSKI ANAKIMBIZIA REKODI TU

0
ROBERT Lewandowski nyota wa timu ya Bayern Munich ni miongoni mwa washambuiaji bora kutokea kwenye Ligi Kuu ya Ujerumani 'Bundesliga'. Ameshinda kiatu cha ufungaji...

DUH MESSI CHAPA NYINGINE AMFUNIKA CR 7, NEYMAR KWA MKWANJA

0
LIONEL Messi mshambuliaji wa Barcelona inayoshiriki La Liga yeye anaongoza kwa kukunja mkwanja mrefu kuliko wengine wanaopiga soka kwa sasa.Kwa mwezi anakunja euro milioni...

WAFANYAKAZI WAPUNGUZIWA MSHAHARA KUMJAZIA CR 7

0
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga Juventus ambao ni mabingwa wa Serie A ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea.Alikuwa ni mwanamichezo aliyekunja mkwanja...

LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL

0
LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.Koscienly aligoma kwenda kwenye kambi ya Arsenal nchini...