AZAM FC WABABE WA WACONGO KAZINI LEO FAINALI
LEO kikosi cha Azam FC ambao ni wababe kwa timu zote za Congo walizokutana nazo ambazo ni TP Mazembe na Manyema FC kitakuwa na...
YANGA: MSIMU UJAO TUTAFANYA MAAJABU
MLINDA Mlango wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Metacha Mnata amesema kuwa msimu ujao lazima wapambane kufikia malengo ya timu kutokana na...
SIMBA YATUMA UJUMBE MZITO KWA YANGA
JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa msimu ujao watapambana kufa na kupona kutetea taji lao na kufanya vyema michuano ya kimataifa.Simba ni mabingwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA
TIMU ya Gwambina FC ya Mwanza ipo mtaani ikisaka saini ya kiungo wa Yanga Pius Buswita ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.Buswita amemaliza mkataba...
TANZANIA PRISONS, KAGERA SUGAR WAIGOMBANIA SAINI YA NYOTA HUYU SIMBA
MOHAMED Rashid 'Mo Rashid' anayekipiga Simba kwa sasa ameziingiza vitani timu nyingi za Ligi Kuu Bara zinazohitaji saini yake ikiwa ni pamoja na Kagera...
KAGERA SUGAR: BADO TUPO SOKONI KUSAKA MAJEMBE
MECKY Maxime amesema kuwa kwa sasa tayari amefanikiwa kufanya usajili kwa wachezaji aliokuwa anawahitaji hivyo ni nafasi chache zimebaki.Maxime amesema kuwa msimu ujao anahitaji...
KAZI IMEANZA MTIBWA SUGAR, WAINASA SAINI YA NYOTA WA TIMU YA TAIFA
MTIBWA Sugar wameanza kazi ya usajili msimu huu baada ya kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji kutoka African Lyon, Awadh Salum.Salum ni nyota pia ndani...
KASSIM KHAMIS, IDDY SULEIMAN WAMPA WAKATI MGUMU NYOTA AZAM FC
KUSAJILIWA kwa nyota wa Mbeya City FC, Iddy Suleiman, Kassim Khamis kutoka Kagera Sugar kumefanya nafasi ya mshambuliaji Mbaraka Yusuph kuwa finyu hali inayowafanya...