AzAM FC YAPATA PIGO KUBWA…MCHEZAJI HUYU KUONDOKA…KUSAJILI MASHINE HII MPYA
Klabu ya El Merrikh inampango wa kumrejesha Mlinda lango wake anayekipiga Kwa Mkopo wa nusu msimu ndani ya Klabu ya Azam, Mohammed Mustafa mwishoni...
MBUNGE:-“MNA CHAMA NA PACOME SISI TUNA MAMA SAMIA…AMEZUNGUMZA HAYA BUNGENI
Mbunge wa Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kutajwa kwa sababu ndiye mmiliki wa maendeleo ya nchi.
Lusinde...
KOMBE LA SHIRIKISHO KUFUTWA… RAIS CAF “SIKUWEKA PESA MAKUSUDI…AMEFUNGUKA HAYA
Ishu ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), kutazamiwa kuyafuta mashindano yake ya pili kwa ukubwa ya Kombe la Shirikisho, kulingana na ripoti zilizopo,...
SIMBA YAINGIA MITINI…YANGA YAPATIWA USHINDI WA MEZANI…VURUGU WACHEZAJI NA POLISI
Aprili 20, 2024, watani wa jadi wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, watakutana katika muendelezo wa ligi kuu kwa msimu wa 2023/24.
Watani hawa...
RASMI AZAM FC YATOA TAMKO HILI…KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MUUNGANO
Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam imetibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2024.
Kupitia taarifa Rasmi ya Klabu, Azam...
RAIS LA LIGA:- “ONYO BARCELONA HAMUWEZI KUNUNUA MCHEZAJI MNAYEMTAKA…MASTAA KUUZWA
Rais wa La Liga, Javier Tebas amewaonya Mabingwa wa Soka nchini Hispania FC Barcelona, kwa kuwasisitiza hawawezi kumnunua mchezaji wanayemtaka, kuelekea mwishoni mwa msimu...
KUMBE SIMBA WAMEWEKA KAMBI ZANZIBAR KWA SABABU HII…KIBADENI AFUNGUKA A-Z
Simba imeenda tena kuchukua maujanja Zanzibar kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin...
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO…MABONDIA WAFUNGUKA HAYA…KIDUKU AZIKATAA SIMBA NA YANGA
Tangu 1965 ikiwa imepita miaka 59, Simba na Yanga zimekutana mara 111 katika michezo ya watani wa jadi yaani 'Kariakoo Dabi'.
Katika michezo hiyo, Yanga...
YANGA WAFANYA KIKAO CHA SIRI NA WACHEZAJI…GAMONDI;- “SISI SIO MASHABIKI…AMEFUNGUKA HAYA
Yanga imeingia kambini jana tayari kwa maandalizi yao ya kuwakaribisha watani wao Simba, lakini kuna mkwara mzito wameshushiwa mastaa wao kisa Wekundu hao.
Yanga itakuwa...
SIMBA YAFANYA KUFURU…KUMSAJILI KIPA HUYU…KUMBE ALIMUWEKA BENCHI KIPA WA MAN U
Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo hasa za usajili kutoka nchini Ghana Nuhu Adams, klabu ya Simba ya Tanzania ina nia ya...