NINJA AIBUA MSALA MECHI YA KWANZA TU AKIWA NA LA GALAXY MAREKANI
Beki mpya wa Klabu ya LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani MLS, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amecheza mchezo wake wa kwanza akiwa na...
MTIBWA SUGAR: TUPO TAYARI KWA LIGI
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema maandalizi ya kikosi kwa ajili ya msimu mpya yanakwenda vizuri.Mtibwa Sugar kibarua chake cha kwanza itakuwa...
YANGA YAFANYA KWELI DAKIKA ZA USIKU, YAJIPIGIA AFC LEOPARDS
KIKOSI cha Yanga leo kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa leo uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.Bao...
VAR INAWALIZA KINOMA MANCHESTER CITY, GABRIEL JESUS HAAMINI KABISA
MENEJA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa kuna umuhimu wa kupunguza matumizi ya teknolojia ya VAR kwani inaleta matokeo yenye maumivu.City ililazimisha sare...
JERRY MURO AIBUKIA TENA YANGA
MKUU wa Wilaya ya Arumeru ambaye aliwahi kuwa ofisa habari wa Yanga Jerry Muro ameshangaa wanaodai timu yao ni dhaifu.“Nani anasema Yanga mbovu, Yanga...
MBELGIJI SIMBA AWAGOMEA WABRAZIL
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick aussems amesema haoni nafasi ya wachezaji wake watatu kutoka Brazil kupata namba za kudumu kwenye timu hiyo kutokana...
MBWANA SAMATTA APANIA KUTUPIA MABAO MENGINE MENGI ZAIDI UBELGIJ
MTANZANIA,Mbwana Samatta anayekipiga kwenye timu ya KRC Genk sasa anazidi kuifukuzia rekodi yake ya mabao 23 aliyoifunga msimu uliopita.Samatta kwa sasa amefikisha jumla ya...
KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA FC LEOPARDS
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo ddhidi ya FC Leopards mchezo wa kirafiki1. Metacha Mnata2. Paul Godfery3. Ally Mtoni4. Kelvin Yondani5. Lamine Moro6. Papy Tshishimbi7....
TANZANIA KESHO KAZINI KUMENYANA NA UGANDA MICHUANO YA CECAFA
KIKOSI cha Timu ya Taifa la Tanzania chini ya miaka 15 Kwa sasa kipo nchini Eritrea kwa ajili ya kushiriki michuano Kwa CECAFA kwa...
LAMPARD KWENYE KIBARUA KINGINE LEO LIGI KUU ENGLAND
KIKOSI cha Chelsea leo kitacheza mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu England dhidi ya Leicester City.Mchezo huu utakuwa ni wa kwanza kuwa nyumbani...