ZANA BADO YUPO SIMBA, UWEZO WAKE WAMKOSHA MBELGIJI, ISHU YA MKATABA YATAJWA
Kama utani vile beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba Zana Coulibaly amerejea Bongo ambapo kwa sasa anakamilisha mazungumzo na mabosi...
BAADA YA KUMALIZANA NA SIMBA, KAHATA ATOA TAMKO
Baada ya kumalizana na Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo wa zamani wa Gor Mahia FC, Francis Kahata, amefunguka kuhusiana na Meddie...
BAADA YA KUACHANA NA SIMBA, HUKU NDIPO ANAPOELEKEA NIYONZIMA
Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.Niyonzima amewaaga...
ISHU YA GADIEL MICHAEL YAZIDI KUSHIKA KASI, CHAMPIONI IJUMAA LINA MAJIBU
ISHU ya Gadiel Michael kesho itakuwa ndani ya gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
SABABU KUBWA ZA KAHATA KUMALIZANA NA SIMBA ZATAJWA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya Francis Kahata kusajiliwa ni uwezo wake mkubwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa pamoja na...
YANGA YATOA TAMKO ZITO KUHUSU WACHEZAJI WAKE WANAOWASUMBUA KUSAINI KANDARASI MPYA,
MSHINDO Msolla Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko mchezaji hivyo hawana presha na beki Gadiel Michael ambaye mkataba wake...
KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO
BESALA Bokungu mlinzi wa kati kutoka timu ya Groupe Bazano ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo amejiunga na KMC kwa kandarasi...
MABINGWA WATETEZI WA KAGAME AZAM FC WAWASILI RWANDA
KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama nchini Rwanda ambako kimeelekea leo kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Azam FC wanakwenda kutetea kombe lao...