JEZI ZA STARS ZAGOMBEWA KAMA NJUNGU, WADAU WAJITOKEZA KUISAPOTI IFANYE KWELI AFCON
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu leo Juni ameendesha harambee maalum ya kuichangia timu ya taifa (Taifa Stars) katika...
ALLIANCE FC WATANGAZA HATMA YA KOCHA WAO MALALE HAMSINI
UONGOZI wa Alliance FC umesema kuwa kwa sasa wanamsubiri kocha wao Malale Hamsini asaini kandarasi mpya ili aendelee na kazi kwani msimu uliopita alifanya...
AZAM FC WAIKOMALIA KAGAME, SASA NGUVU ZAO WAMEWEKEZA HUKU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kukiandaa kikosi cha ushindani kitakachofanya vema kwenye michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza mwezi Julai...
YANGA YAWEKA MSIMAMO WAKE KUHUSIANA NA AJIBU, NI MOJA AU MBILI
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo uongozi wa klabu ya Yanga umetoa msimamo wake kuhusiana na kiungo Ibrahim Ajibu Migomba.Yanga imesema mkataba...
SIMBA YAMSAINISHA MKATA UMEME KUTOKA AL HILAL YA SUDAN
Simba imeamua kujiimarisha zaidi katika sehemu ya kiungo cha ukabaji kwa kuvuka mipaka hadi nchini Sudan ambako imemsajili kiungo Bora mara mbili mfululizo wa...
MAJEMBE YA KAZI 11 YAMALIZANA FASTA NA MATAJIRI WA BONGO AZAM FC
KAZI bado inaendelea kwa sasa ndani ya kikosi cha Azam FC ambapo kwa sasa Azam FC nao wanaendelea na kazi ya kuongeza nguvu ya...
WANA KINONDONI BOYS ‘KMC’ HAWALALI, WASAJILI MASHINE SABA MIAKA MITATU
UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla ya nyota wao saba ndani ya kikosi hicho kwa kandarasi...
SIMBA HAWAPOI MTINDO WAO KIMYAKIMYA, MASHINE ZAO SABA KAMA SAA SABA
MABINGWA watetezi Simba hawapo nyuma kenye usajili kama ilivyo kwa wapinzani wao wa jadi Yanga namna wanavyoshusha mashine mpya.Msimu huu wao wamekuja na utaratibu mpya...
AKIWA HAJAMALIZA HATA WIKI, BALINYA ATUMA MJUMBE MZITO KWA WACHEZAJI BONGO
NYOTA mpya wa klabu ya Yanga, mshambuliaji Juma Balinya amefunguka kwamba kwake hawazi sana nani ambaye ataanza naye kwenye pacha ya ushambuliaji ya timu...
STRAIKA HATARI ORLANDO PIRATES KUTUA SIMBA, AAGA RASMI
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili...