COASTAL UNION YAFANYA MAAMUZI MAGUMU KUHUSU ALI KIBA
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kwa sasa hawafikirii kumuacha mchezaji Ali Kiba licha ya kuwa na majukumu mengi kwani uwezo wake...
Kelvin John alitamani sana kubaki Misri
Kelvin John Mshambuliaji ambaye alikuwemo katika kikosi cha wachezaji 32 walioitwa na Amunike nchini Misri, amekiri kuwa kuwemo katika kikosi hicho kumemuongezea...
TAZAMA MAUFUNDI YA MASHINE MPYA ILIYOTUA YANGA HAPA – VIDEO
Baadhi ya magoli aliyofunga Juma Balinya ambaye amesajiliwa na Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Tazama vdeo yake hapa.
HIKI NDICHO KILICHOMPONZA CHIRWA, SINGANO, LYANGA KUPIGWA CHINI AZAM FC
IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya kocha Ettiene Ndayiragije kuwatema wachezaji nane wa kikosi hicho ni pamoja na kutoridhishwa na uwezo wa wachezaji hao pamoja...
JIPYA LAIBUKA JUU YA USAJILI WA BWALA SIMBA
Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya.Taarifa za ndani zinasema...
TSHABALALA AWACHANGANYA WAARABU – VIDEO
Tazama alichokifanya Mohammed Hussein 'Tshabalala' huko Misri akiwa na Taifa Stars mpaka baadhi ya waarabu wakawa wanamtazama.
HARMONIZE AMKATAA ALIKIBA, ATAJA TATTOO ZAKE – VIDEO
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB Wasafi, amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na tattoo alizochora mwilini mwake sambamba na kumtaja Ali Kiba. Sikiliza hapa
ALIKIBA AIGA ALICHOKIFANYA DIAMOND – VIDEO
Lebo ya Msanii wa kizazi kipya inayomilikiwa na msanii Ali Kiba 'Kings Music' imemtambulisha msanii mwingine mpya.
Miraji avunja kanuni ya saa saba kamili?
Winga wa klabu ya Lipuli Fc yenye makazi yake mjini Iringa, Miraj Athumani, huenda anaelekea katika klabu ya Simba Sc baada ya...
WENGINE WAWILI WASAINI LEO AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC chini ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin kwa kushirikiana na benchi la ufundi lililo chini ya Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragaje...