MRITHI WA SARRI NDANI YA CHELSE, LAMPARD KUTANGAZWA BAADA YA MASAA 48
Frank Lampard anapewa nafasi kubwa ya kurejea kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa ni meneja ndani ya siku mbili.Mchezaji huyo wa zamani...
MANCHESTER UNITED WAIPIGA CHINI OFA YA NEYMAR
MANCHESTER United wameipiga chini ofa ya kubadilishana mchezaji wao Paul Pogba na timu ya Paris Saint Germain (PSG) kumpata Neymar.Pogba anaonekana ana mpango wa kusepa Old...
ULE MSELELEKO WA DStv WIKIEND HII UNAKUJIA NA MAJAMAA WA WATUBAKI…USIPOCHEKA UNASHIDA YA BANDAMA….
Vunja mbavu na Vichekesho vya Watubaki kila siku za Jumamosi saa 3 usiku kupitia chaneli ya...
ZAHERA ATAJA SABABU NYINGINE YA KUFUNGWA NA OKWI, AWATAJA CAF
BAADA ya timu ya taifa ya DR Congo kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Uganda, juzi Jumamosi, Kocha Msaidizi wa DR Congo, Mwinyi...
SIMBA SC YABADILI GIA KWA OKWI
BAADA ya hivi karibuni mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi kudaiwa kugoma kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, sasa mambo yamekaa sawa.Habari njema...
Baada ya kuchapwa 2-0,2-0, Harambee Stars vs Stars si mchezo wa marudio, ni vita
UKIZITOA timu wenyeji wa michuano Misri, Morocco na Algeria ambao tayari wamekwishacheza na Tunisia wanaotaraji kucheza mchezo wao wa kwanza katika Kundi...
Tusimlaume FEI TOTO, Tatizo liko hapa !
Jana tulikuwa na mechi ya kwanza ya mashindano ya Afcon baada ya kukaa miaka 39 bila kushiriki michuano hii mikubwa barani Afrika.Kwa...
MAZEMBE YAWAFUATA FEI TOTO, TSHABALALA DAR
KIGOGO wa TP Mazembe yupo Jijini Dar es Salaam kufanya mazungumzo ya awali na Simba na Yanga. Si hao tu pia wanazungumza na wakala...
TAZAMA MAKALI YA KIPYA MPYA ANAYETAJWA KUTUA YANGA – VIDEO
Tazama makali ya kipa Farouk Shikalo anayetajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kusajiliwa na Yanga.
KAMBI YA YANGA NI BAB KUBWA
WAKATI Yanga wakiwa wanakamilisha zoezi la usajili ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao imebainika kwamba viongozi wa timu hiyo chini ya mwenyekiti wake,...