IWOBI MAMBO SAFI EVERTON, AIKACHA ARSENAL MAZIMA
EVERTON imethibitisha kuinasa saini ya mshambuliaji wa kikosi cha Arsenal, Alex Iwobi.Nyota huyo anayekipiga timu ya Taifa ya Nigeria amesaini kandarasi ya miaka mitano.Iwobi...
TOWNSHIP ROLLERS WATUA NA MAJI YAO DAR KUCHEZA NA YANGA TAIFA – VIDEO
KUEPUKA kufanyiwa hujuma na wapinzani wao Yanga, kikosi cha Township Rollers, jana kilitua jijini Dar es Salaam kikiwa na vinywaji vyao ikiwemo maji na...
BEKI TANZANITE AWEKA REKODI TAMU, KILA MECHI ANACHEKA NA NYAVU, ANA TUZO MOJA YA...
ENEKIA Kasonga,beki kisiki wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' ameweka rekodi tamu kwenye michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika...
DUH KUMBE LUKAKU ALIKUWA UNITED MAWAZO YAKE JUMLA YAPO INTER MILAN
ROMELU Lukaku nyota mpya wa Inter Milan amewaambia mashabiki na viongozi wa timu yake ya zamani Manchester United kuwa wanastahili shukrani.Lukaku amekamilisha dili ya...
NYOTA MPYA WA YANGA, RAIA WA RWANDA SIBOMANA AAMUA KUFANYA KWELI, AMSHUSHA MKEWE DAR
PATRICK Sibomana, mshambuliaji mpya wa Yanga ameamua kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa kesho dhidi ya Townshipp Rollers.Muda mfupi kabla ya kuwavaa wababe...
UONGOZI WA YANGA WAKOMELEA MSUMARI ISHU YA JUMA ABDUL, DANTE NA YONDAN
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa ni lazima madai ya wachezaji wanaoidai timu hiyo yafanyiwe kazi kabla ya kurejeshwa ndani ya kikosi hicho.Juma Abdul pamoja...
KMC SIO WA MCHEZOMCHEZO, WAMFUATA HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA KIBABE
KIKOSI cha KMC, hakitaki kabisa utani kimataifa kwani jana kimewafuata wapinzani wao kibabe wakiwa wametupia mavazi matata.KMC inapeperusha Bendera ya Tanzania Kimataifa ambapo Agosti...
YANGA YATOSHANA NGUVU NA MALINDI, WACHOMOA BAO DAKIKA ZA USIKU
KIKOSI cha Yanga kimetoshana nguvu na kikosi cha Malindi FC kwenye mchezo wake wa kirafiki uliochezwa visiwani Zanzibar.Yanga imeweka kambi maalumu visiwani Zanzibar kwa...
YANGA KUMENOGA, SIMBA NAKO KAMA KAWA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI
KESHO ndani ya CHAMPIONI Ijumaa
ISHU YA MGOMO WA BEKI KISIKI WA YANGA, KELVIN YONDANI IPO NAMNA HII
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hakuna tatizo kati ya Yanga na beki kisiki Kelvin Yondani kwani ameomba ruhusa kutokana na matatizo...












