NYOTA WA STARS WAGOMEWA KUSTAAFU NA MWENYEKITI WA HAMASA KWA MTINDO HUU
PAUL Makonda, Mwenyekiti wa Hamasa wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwenye michuano ya Afcon amesitisha mipango ya wachezaji wakongwe Kelvin Yondani...
HIKI NDCHO KILICHOWAPONZA YANGA NA SIMBA KUMKOSA NYOTA WA KAGERA SUGAR ALIYETUA AZAM FC
YANGA na Simba zimepigwa bao na Azam FC kuinasa saini ya nyota wa Kagera Sugar, Kassim Khamis ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani...
EXCLUSIVE PART ONE: AMUNIKE ALIVYOVURUMISHA MATUSI KWA YONDANI, YEYE AMWAGA CHOZI
Na Saleh Ally, CairoUKITAKA kumuuliza kila mmoja kuhusiana na mengi yaliyokuwa yanajitokeza ndani ya kikosi cha timu ya soka ya taifa maarufu kama Taifa...
TUNAHITAJI AKINA AZAM FC, KMC KIBAO ILI KUIBADILISHA TANZANIA
NA SALEH ALLYKATI ya timu za Tanzania zinazokwenda katika michuano ya Kombe la Kagame ni Azam FC ambao ni mabingwa watetezi pamoja na KMC...
MBWANA SAMATTA MAMBO NI MOTO, OFA TATU ZA MAANA ENGLAND
IMEELEZWA kuwa nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ambaye pia ni nahodha, Mbwana Samatta amekuwa dhahabu kwa timu za Ligi Kuu...
HIKI NDICHO WANACHOJIVUNIA STARS AFCON
KOCHA wa timu ya Taifa, Emmanuel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.Tanzania ilishindwa kutinga...
ROSE MUHANDO MAJANGA TENA
LICHA ya hivi karibuni kusaidiwa na baadhi ya waimbaji wa Injili wa nchini Kenya alipokuwa anaumwa, habari za ndani zinadai kwamba kwa sasa muimbaji...
IBRAHIM AJIBU ATOA LA MOYONI KWA YANGA
BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
NYOTA WA BONGO ATIMKIA KENYA
NYOTA wa kikosi cha Alliance , Dickson Ambundo amejiunga na klabu ya Gormahia ya Kenya kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Ambundo amejiunga na klabu hiyo...
HII NI NOMA SASA! SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA TISA WA MATAIFA SABA
KIKOSI cha Simba ambacho kinaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 mpaka sasa tayari wamemalizana na wachezaji wa kigeni tisa kutoka...