SIMBA HAWAPOI MTINDO WAO KIMYAKIMYA, MASHINE ZAO SABA KAMA SAA SABA
MABINGWA watetezi Simba hawapo nyuma kenye usajili kama ilivyo kwa wapinzani wao wa jadi Yanga namna wanavyoshusha mashine mpya.Msimu huu wao wamekuja na utaratibu mpya...
AKIWA HAJAMALIZA HATA WIKI, BALINYA ATUMA MJUMBE MZITO KWA WACHEZAJI BONGO
NYOTA mpya wa klabu ya Yanga, mshambuliaji Juma Balinya amefunguka kwamba kwake hawazi sana nani ambaye ataanza naye kwenye pacha ya ushambuliaji ya timu...
STRAIKA HATARI ORLANDO PIRATES KUTUA SIMBA, AAGA RASMI
Simba ipo kwenye mipango ya kukamilisha taratibu za kumsajili mshambuliaji mzambia wa Orlando Pirates ya nchini afrika kusini, Justin Shonga.Timu hiyo imepanga kufanya usajili...
SIMBA YASAJILI BEKI WA KATI MBRAZIL, TAYARI YUKO JIJINI DAR
Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba wameamua kuhamia nchini Brazil na kumsajili beki wa kati, Gerson Fraga Vieira.Vieira yuko nchini na imeelezwa ana uwezo wa...
MTU KABEBA MILIONI SABA ZA SPORTPESA KWA ULAINIIIIIIII…..
Mkazi wa Kinondoni Bwana Bakari Mustapha Salum, akikabidihiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 7 mara baada ya kubashiri kwa usahihi mechi...
EXCLUSIVE!! YANGA YAMALIZANA NA ALLY ALLY, AMWAGA WINO WA MIAKA MIWILI
Beki kiraka wa timu ya KMC, Ally Ally 'Mwarabu' amemalizana na uongozi wa Yanga kwa kusaini mkataba wa miaka miwiliAlly amekuwa bora ndani ya...
MIDO WA SINGIDA KUBEBA MIL 20 YANGA
IMEFAHAMIKA kwamba mido mpya wa Yanga, Kenny Ally ambaye anaichezea Singida United atalamba milioni 20 ikiwa ni sehemu yake ya usajili.Yanga watampata mido huyo...
KIGOGO AFUNGUKIA USAJILI WA NIYONZIMA YANGA
UONGOZI wa Yanga umekanusha tetesi za kiungo wao wa zamani Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kuwa anaweza kujiunga tena na timu hiyo.Taarifa hizo zilianza kuzagaa juzi...
VIDEO: ALIYEUA MWANAFUNZI WA KIU AKAMATWA NA POLISI
JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Ernest Joseph (19) kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa...