ZAHERA ATOA MASHARTI MAKALI YA USAJILI YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ametoa masharti ya usajili wa wachezaji wapya.Yanga hadi hivi sasa imekamilisha usajili wa wachezaji saba ambao ni...
SIMBA SASA NI JEMBE JUU YA JEMBE
BODI ya Wakurugenzi ya Simba SC, Company Limited imetangaza rasmi kuanza usajili wa wachezaji wake wapya wakitumia ripoti ya kocha mkuu, Mbelgiji, Patrick Aussems.Hiyo,...
SIMBA WATAJA SIKU YA KUTAMBULISHA MASHINE MPYA
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara mara mbili mfululizo Simba, msimu wa 2017/18-na 2018-19 wamepata mualiko wa kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21 dhidi Gwambina...
HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOWAPA SIMBA UWANJA WA MABWEPANDE
RAIS Mstaafu wa Awamu ya nne wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amesema viongozi wa Serikali hawatakiwi kuegemea katika klabu moja na kukandamiza nyingine kwa...
SERIKALI YAONGEZA MAKALI USIMAMIAJI WA TPL KWA WACHEZAJI WA KIGENI
KUELEKEA kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa, na Michezo, Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa wachezaji wa kigeni watakaopata...
CHAMA CHA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA CHAOMBA KUPIGWA TAFU NA WATANZANIA
TIMU ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanaume na wanawake imewaomba watanzania kuwachangia fedha ili iweze kumudu gharama za kwenda Uganda kushiriki mashindano...
BAADA YA KUMTANGAZA MAKAME, YANGA YATUMA UJUMBE WA TAHADHARI SIMBA
Kutoka Young AfricansSalamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia 'kiroho mbaya', ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.Abdulaziz Makame,...
KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum...