JEMBE JIPYA SIMBA LASAINI KWA DAU NONO! UKURASA WA MBELE CHAMPIONI LEO JUMATATU

0
Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu

SIMBA YAONGOZA KUINGIZA MPUNGA LIGI KUU, BIASHARA YA TATU, AZAM YA 15

0
Mgao wa Mapato ya mlangoni kwa timu za Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19.

WABRAZIL SIMBA WAFICHWA

0
WAKATI usajili ukizidi kukolea ndani ya klabu ya Simba imebainika kuwa nyota wapya wa klabu hiyo Wabrazili tayari wamepelekwa kwenye hoteli ambayo Simba huweka...

WATANO WASAINI RASMI YANGA

0
Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza...

JKT TANZANIA YAMALIZANA NA NYOTA WAKALI SITA FASTA

0
DANNY Lyanga amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na kikosi cha JKT Tanzania baada ya kuachwa na Azam FC na kukamilisha jumla ya wachezaji...

PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA

0
PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.PSG ililipa kiasi hicho cha...

KUTOKA CAIRO, MSOME AMUNIKE HAPA KUHUSIANA NA MECHI YA KESHO DHIDI YA ALGERIA

0
Na Mwandishi Wetu, CairoKocha wa timu ya taifa Taifa Stars  Emmanuel Amuneke, ana matumaini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri katika...

MANULA BOMU KWETU, HUKU WENYE MPIRA WAO WANAMUONA YUKO VIZURI

0
Na Saleh Ally, CairoKUNA kikundi cha wataalamu wa kutafuta wachezaji kwa ajili ya timu mbalimbali za ligi za Ulaya hasa kutokea katika nchi za...