NAMUNGO FC, MTIBWA SUGAR, MBAO FC ZAINGIA ANGA ZA MWADUI FC

0
MUSSA Mbissa mlinda mlango wa Mwadui FC amesema kuwa ana ofa ya timu tatu mkononi mwake zikitaka kupata saini yake.Akizungumza na Saleh Jembe, Mbissa...

YANGA: TUNASUKA KIKOSI MATATA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa wamejipanga kufanya maajabu msimu ujao hivyo watatumia muda huu wa maandalizi kusuka kikosi imara.Akizungumza na Saleh Jembe, Mratibu wa...

MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE

0
LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.Messi amesema...

AZAM FC YAFICHUA SIRI YA USHINDI MBELE YA WACONGO

0
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame kutokana na ushindani walioupata ila...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi

DIDA: MANULA ALINIPA HASIRA YA KUPAMBANA

0
DEOGRATIUS Munish 'Dida' amesema kuwa kuwekwa kwake benchi na mlinda mlango namba moja wa Simba Aish Manula kulimuongezea hasira ya kupambana.Dida kwa sasa ameachana...

KUMBE! CAF NDO CHANZO ZA VIPORO BONGO

0
UONGOZI wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umesema kuwa sababu kubwa zilizofanya msimu uliopita kuwe na viporo vingi kwa timu ni kubadilishwa kwa ratiba...

KAGERA SUGAR YAMVUTIA KASI MUIVORY COAST KUMRITHI KASSIM KHAMIS

0
WILLFRED Kouroma mshambuliaji wa Biashara United raia wa Ivory Coast ameingia kwenye rada za uongozi wa Kagera Sugar ambao wanaimarisha kikosi.Inaelezwa kuwa Kagera Sugar...

NAMUNGO FC KUMCHOMOA MMOJA KUTOKA SIMBA

0
ZANA Coullibary mzee wa kumwaga na kumimina maji sasa ni wazi msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha Namungo FC endapo dili litakamilika akitokea...

ALGERIA BINGWA MPYA WA AFRIKA, AMNYOOSHA SENEGAL KIDOGO TU

0
BAGHDAD Bounedjah bao lake la dakika ya pili limetosha kuipa timu ya Algeria ubingwa wa Bara la frika kwa mwaka wa 2019 nchini Misri...