Trending Stories
View All
KUHUSU SIMBA KUISAIDIA YANGA KIPESA…ENG HERSI KAIBUKA NA JIBU HILI….KAMTAJA MANJI PIA…
Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said ameweka wazi kuwa uendeshaji wa klabu zamani na sasa umebadilika kwa asilimia…
SAKHO AFICHUA TABIA ZA SARR NNJE YA UWANJA …ATAJA USTARABU, DHARAU NA KUJIONA….
SIMBA tayari imemtambulisha kiungo mkabaji Msenegal, Babacar Sarr na jana usiku aliingia kipindi cha pili kwenye mchezo wa Kombe la…
EDO KUMWEMBE:- KWA UWEZO WA HUYU NANGUKA….WAZUNGU WASINGECHELEWA HAPA…
ALIWAHI kuulizwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger. Ni kwanini alikuwa anampanga Cesc Fabregas mara kwa mara wakati huo akiwa na…
HUU HAPA MPIRA RASMI WA AFCON NA RATIBA YA MECHI ZA TAIFA STARS…
SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limezindua na kutambulisha mpira rasmi utakaotumika kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika…
PANGA LA YANGA KUPITA NA MASTAA HAWA….ENG HERSI ATAJA MAJINA….
RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema wachezaji ambao hawana mchango wowote kwenye kikosi hawana nafasi ndani ya timu hiyo. “Katika…
ENG HERSI AFUNGUKA SIRI YA USAJILI YANGA….AANIKA ALIVYOMNYAKUA AZIZI KI KININJA…
Rais wa Yanga, Hersi Said amesema siri ya kusajili wahezaji bora kipindi cha hivi karibuni akikiri kuwa ni mchakato na…
KATI YA HAWA MMOJA KUMRITHI CHAMA SIMBA….BENCHIKHA KAPITISHA USAJILI WA HUYU KWANZA…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha, amewasilisha jina la kiungo wa zamani wa Paide Linnameeskond nchini Estonia, Babou Cham…
KUELEKEA MECHI YA FA LEO….WEKA TUMAINI LAKO KWENYE ODD ZA CHELSEA NDANI YA MERIDIANBET
Mabingwa wa zamani wa soka barani ulaya wameonekana wameanza kupata uelekea sahihi na hii ni kutokana na ubora ambao wameuonesha…
KUHUSU KUSAJILIWA NA YANGA…MSUVA AVUNJA UKIMYA….AFUNGUKA MSIMAMO WAKE….
Baada ya kuhusishwa kujiunga na Young Africans, winga wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Simon Msuva kwa mara ya kwanza…
HUU HAPA USAJILI MPYA YANGA …ENG HERSI AUNGANISHIWA DILI AKIWA PSG….
IMEFICHUKA kuwa, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ameenda Ulaya akiwa na hesabu za kukamilisha usajili wa kushtua iwapo atafanikiwa…
SIKU CHACHE BAADA YA KUTANGAZWA… BENCHIKHA KAIBUKA NA HILI KUHUSU USAJILI WA SARR…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha sasa ana amani ya moyo mara baada ya timu hiyo kukamilisha usajili wa…
GUNDU LAANZA KUMWANDAMA OKRAH YANGA…..KUKAA NNJE WIKI TATU AKIJIUGUZA…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na Klabu ya Young Africans Augustine Okrah, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki tatu,…
UKIACHANA NA AVIATOR…SLOT NYINGINE RAHISI YA KUVUNA MPUNGA NI HII HAPA …..
Nasikia kuna watu wamepagawa sana na mchezo wa AVIATOR yani huwaambii kitu, lakini kuna michezo mingi sana ya kupiga hela…
KISA MECHI NA MISRI JUZI…AMROUCHE “AKUNA KICHWA” VIWANGO VYA MASTAA TAIFA STARS…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Stars, Adel Amrouche amesema bado ana kazi ya kufanya kwa wachezaji wake wote kucheza…
KUHUSU ISHU YA ONANA KUTAKIWA NA WAALGERIA….SIMBA WAIBUKA NA TAMKO HILI RASMI…
UONGOZI wa Simba umesema hawajapokea barua kutoka klabu ya JS Kabylie ya Algeria au timu yoyote inayomuhutaji huduma ya kiungo…
BAADA YA KUSAINI JANA….THAMANI YA CHASAMBI YAPANDA GHAFLA…SIMBA KUMUUZA KWA BIL 2..
WINGA mpya wa Simba, Ladack Chasambi amesema anatambua kuwa amejiunga na timu yenye wachezaji wakubwa na anatarajia kupata ushindani mkubwa…