Trending Stories
View All
KUHUSU ISHU YA KUWAACHA KONKONI , GIFT….MABOSI YANGA WAPASUA VICHWA…
IKIWA imesalia wiki moja tu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa rasmi, huku Yanga ikitajwa kushusha mshambuliaji mmoja kabla…
WAKATI JAMBO LA CHAMA LIKIWA TETE….BENCHIKHA AMPIGA MKWARA MZITO PHIRI…
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano…
WAKATI YANGA WAKIIKIMBIA SIMBA JANA…SINGIDA WAWAHI SITI YA MBELE KABISA…
Singida Fountain Gate imetangulia hatua ya nusu fainali baada ya kuishangaza Azam FC kwa kuichapa mabao 2-1. Mchezo huo wa…
KWA HALI HII YA CHAMA NA BENCHIKHA….NI ZAMU YAKE KWENDA YANGA SASA…
JULAI 2022 winga machachari, Mghana Bernard Morrison alirudi Yanga baada ya kuachwa na klabu ya Simba. Miaka miwili nyuma winga…
AISHI MANULA AUNGANA NA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUZINDUA SPARK 20 SERIES…
Kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Tanzania iliungana na wanafunzi wavyuo katika uzinduzi wa simu mpya ya TECNO SPARK…
MAFIA CLASH INAKUPA UHAKIKA WA MTONYO KUPITIA MERIDIANBET CASINO….ISHI NAYO HII…
Hatimaye wale wapenzi wa kucheza magemu huu utawafaa, ni mchezo mzuri sana wa kasino ya mtandaoni una mandahari mazuri na…
UNAAMBIWA SARR ALIWACHANIA SIMBA MKATABA MARA TATU….ISHU NZIMA IKO HIVI….
UNAAMBIWA kama kuna dili limewatingisha mabosi wa Simba basi ni mkataba wa kiungo mpya wa timu hiyo, Babacar Sarr ambaye…
GAMONDI:- MECHI ZA MAPINDUZI CUP NI NGUMU BALAH….
KOCHA wa Yanga amesema kama kuna mtu anadhani mechi za Mapinduzi ni laini anakosea na kwamba hizo ni ngumu pengine…
ANAYEFUATA KUTAMBULISHWA SIMBA HUYU HAPA….TAYARI YUKO ZAKE ZNZ MAPEMA TU…
Simba wakati wowote kutoka sasa itamtangaza winga wao mpya Ladack Chasambi ambaye tayari yupo kisiwani hapa tayari kwa utambulisho huo.…
ALLY KAMWE:- TUMETOKA LAKINI TUNA REKODI ZETU….ANAYESEMA TUMEKIMBIA AJE TUKIPIGE..
Wakati mashabiki wa Simba wakitamba kwamba watani wao Yanga wamewakimbia kwa kukubali kipigo mbele ya APR wamejibiwa wakiambiwa leteni barua…
MCHAMBUZI;- MASTAA HAWA NDIO WAMEIANGUSHA YANGA JANA…WALISTAHILI KUFUNGWA 5..
Kwenye mchezo dhidi ya Jamhuri ,Yanga walicheza kawaida ila walikutana na timu ya kawaida wakaifunga magoli matano,mchezo dhidi ya Jamus…
KUHUSU KIUNGO MPYA SIMBA….EDO KUMWEMBE KAJA NA HOJA HIZI NZITO…
WIKI iliyopita pale Simba alitambulishwa kinda anayeitwa Saleh Masoud Karabaka. Alinunuliwa hapo hapo Zanzibar, akavaa jezi hapo hapo Zanzibar, akafunga…
KIPIGO KUTOKA MISRI JANA CHAMFANYA SAMATTA KUJA NA KAULI HII YA KISHUJAA…
MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa mchezo wao dhidi ya timu ya taifa…
BAADA YA YANGA KUFUNGWA JANA….ALLY KAMWE KAIBUKA NA HILI JIPYA LA KUTULIZIA HALI….
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa yote yalitokea katika Kombe la Mapinduzi 2024 wanashukuru huku safari yao ikigotea robo…
YANGA WAFUATA STRAIKA ULAYA…SIMBA YAGOMA KURUDIA MAKOSA…SARR ACHANA MKATABA…
Pitia ukurasa wa mbele wa leo Jumatatu ya 8/1/2024 wa gazeti la Mwanaspoti kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL.
FT:- YANGA 1-3 APR…..SIMBA NJIA NYEUPEEE….SHIBOUB AKUMBUSHIA ENZI….SKUDU CHALII…
Yanga imekubali kipigo cha mabao 3-1 mbele ya APR ya Rwanda na kutupwa nje ya mashindano huku mashabiki wa watani…