Trending Stories
View All
BENCHIKHA APIGA STOP USAJILI WA CHARAMBA SIMBA….ISHU NZIMA ILIANZIA HAPA…
Juzi Simba ilishusha jembe usiku mnene kutoka Zimbabwe lililopandishwa boti kwenda kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 na juzi…
HAWA HAPA MASTAA WANNE WALIOTEMWA TAIFA STARS KIKOSI CHA MWISHO AFCON 2023…
Kipa Metacha Mnata na mshambuliaji Abdul Selemani ‘Sopu’ ni miongoni mwa wachezaji wanne wa Taifa Stars ambao hawajajumuishwa katika kikosi…
MZIKI WA AZAM FC WAMTISHA MSAUZI WA SINGIDA FG…KESHO UBISHI WOTE KWISHA…
KOCHA Mkuu wa Singida Fountain Gate, Msauzi Thabo Senong amewataka wachezaji wa timu hiyo kuongeza umakini na kuepuka makosa yanayoweza…
MSHINE MPYA SIMBA YAANZA KUJIFUA NA WENZAKE….MATOLA AMFUTA KWENYE MECHI YA KESHO…
Kiungo mpya wa Simba, Babacar Sarr leo ameanza kazi ya kujifua na timu hiyo kwenye mazoezi ya timu hiyo yatakayofanyika…
ISHU YA ‘BALE’ KUSAJILIWA SIMBA….UKWELI HUU HAPA…
Tetesi zinasema Simba imefanikiwa kuidaka saini ya kinda kutoka Tanzania Prisons winga Edwin Balua ambaye amekuwa na msimu Bora sana…
BENCHIKHA AANZA KUELEWEKA SIMBA….AFUNGUKA HILI KUHUSU ‘SHOW’ ZA NGOMA…
Kocha wa Simba, Abdelhak Benchikha amesema kwa sasa anaanza kufurahia ubora wachezaji ambao wameanza kuelewa kwa haraka falsafa anazotaka ndani…
LEO NDO LEO SIKU YA KUTUSUA MKWANJA NA MERIDIANBET ….ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Jumapili ya mahela ndio leo hii ambapo mechi za FA zimepanga kutoa pesa kupitia meridianbet ukibashiri kwa dau lako dogo…
KUELEKEA MKUTANO MKUU …NAFASI YA MANGUNGU YAWAGAWA WANACHAMA SIMBA…
Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya marekebisho ya Katiba kama ilivyoelekezwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), huku maoni…
CHEMALONE AFUNGUKA A-Z ISHU YAKE YA KUGOMBANA NA ALLY SALIM MECHI IKIENDELEA JUZI…
Beki wa kati wa Simba SC, Che Malone amevunja ukimya na kueleza kuwa hana ugomvi na kipa wa timu hiyo,…
KUELEKEA MECHI NA APR LEO…..MASTAA YANGA WAJIFUNGA ‘MSHIPI’ MAPEMAA…..
Kuelekea mchezo wa leo Jumapili dhidi ya APR ya Rwanda, Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Moussa Ndaw, amesema wamekiandaa kikosi…
AHMED ALLY:- SIMBA ILIKUWA HAINA NAMBA 6 ASILI….
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema usajili wa kiungo mkabaji, Babacar Sarr utaenda kutibu matatizo…
BENCHIKHA AINGILIA KATI ISHU YA MIQUISSONE KUBAKI AU KUSEPESHWA SIMBA…MSIMAMO WAKE HUU HAPA..
Dakika 45 zimetosha kumshawishi Kocha Mkuu wa Simba, Mualgeria, Abdelhak Benchikha kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Luis Miqquissone katika timu hiyo.…
WAKATI VYUMA VYA MAANA VIKIZIZI KUSHUKA TZ…CHAMA , FEI TOTO WATAJWA HUKO…
NI nadra kwa wachezaji kuwasifia mastaa wenzao wanaocheza katika ligi moja, lakini kwa Kenny Mwambungu wa KMC kwake sio ishu…
GAMONDI AISHTUKIA SIMBA MAPINDUZI CUP ….AWAITA MASTAA WOTE ALIOWATOSA DAR…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi mjanja sana. Baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupigwa Kariakoo Derby katika michuano ya…
STARS KULAMBA BILIONI 17 ZA AFCON….ISHU NZIMA IKO HIVI….
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itazawadiwa Dola milioni 7 ambazo sawa na Sh bilioni 17.56 endapo itachukua ubingwa…
ISHU YA CHAMA NA SIMBA NGOMA BADO MBICHI…..KAMNDA KOVA AHUSISHWA…
Kamati ya Nidhamu ya klabu ya Simba SC iliyokuwa imepanga kusikiliza kesi inayowahusu viungo wa timu hiyo, Clatous Chama na…