Trending Stories
View All
WAKATI DILI LA ONANA LIKIWA TAYARI….KIFAA KINGINE HIKI HAPA KINATUA SIMBA…NI BALAAH..
Mabosi wa Simba SC wamegonga hodi kwa mara nyingine nchini Uganda, ili kuona kama wanaweza kumnasa kiungo mshambuliaji wa Mabingwa…
WAKATI NABI AKIWASILIZIA KAIZER CHIEF….MORRISON AIBUKA NA KUINGILIA DILI KWA NYUMA…
Huku Nasreddine Nabi akitarajiwa kutangazwa muda wowote kuwa kocha wa Kaizer Chiefs, nyota wa zamani wa Ligi ya Afrika Kusini…
MERIDIANBET NA KMC WAUNGA MKONO JITIHADA ZA HOSPITALI YA KALITA MATERNITY MADALE…
Kampuni ya kubashiri Tanzania Meridianbet wakishirikiana na timu ya mpira wa miguu KMC wametoa vifaa mbalimbaali vya usafi pamoja na…
KUHUSU UJIO WA MAKABI BONGO….TAARIFA MPYA HII HAPA KUTOKA SIMBA SC…
Klabu ya Simba SC inatajwa kutaka kumsajili Kiungo Mshambulizji kutoka DR Congo na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,…
WAKATI WAKIMALIZANA NA ONANA…SIMBA WAKUMBANA NA KIPINGAMIZI KWA GOMEZ…ISHU IKO HIVI..
Wakati Simba SC ikitajwa kumalizana na Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Cameroon Leandre Willy Onana Essomba akitokea Rayon Sports ya Rwanda,…
KAIZER CHIEF WAGOMEA MASHARTI YA NABI….KUMBE ALITAKA KUWACHUKUA MAKOCHA WOTE YANGA…
Kocha Nasredine Nabi ameng’oa nanga Jangwani amegoma kuongezewa mkataba mpya na uongozi ukamtakia kila kheri tayari ameanza mazungumzo Kiaizer Chief…
ALLY KAMWE:- MAYELE ANAONDOKA YANGA HUO NDIO UKWELI…OFA IPO…
Afisa Habari wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Ally Shaban Kamwe amesema kuna uwezekano mkubwa Mshambuliaji wao kutoka DR…
KUHUSU PITSO NA IBENGE KUHUSISHWA NA YANGA …UKWELI WA MAMBO HUU HAPA…LOLOTE LINAWEZEKANA…
Wakati Klabu Bingwa Tanzania Bara Yanga ikithibitisha kuachana na Kocha Nasreddine Nabi, Uongozi wa Klabu hiyo una majina matano ya…
PAMOJA SIMBA KUPATA BIL 4….UKWELI WOTE HUU HAPA KWA NINI VUNJA BEI KAPIGWA CHINI…
KLABU ya Simba imelamba dili nono ya Sh 4 Bilioni baada ya kuingia mkataba mpya wa miaka miwili wa makubaliano…
HUYU NDIO MORRISON….’CHIZI’ MWENYE KIPAJI CHA MPIRA…MATUKIO YAKE TATA HAYA HAPA…
Kama ikitokea nyota wa Yanga, winga Bernard Morrison akaondoka nchini ataacha mengi ya kukumbukwa. Wamepita mastaa wengi wa kimataifa wanaokumbukwa…
KUHUSU KUTEMWA SIMBA…MGUNDA AVUNJA UKIMYA …AANIKA MSIMAMO WAKE…AITAJA COASTAL UNION..
Kocha kipenzi cha mashabiki wa Simba, Juma Mgunda amefafanua maneno yanayotembea mitandaoni kwamba si sehemu ya kikosi kipya cha Mnyama.…
RATIBA YA NGAO YA JAMII MSIMU UJAO HII HAPA….SIMBA WAPEWA MFUPA MGUMU…YANGA MHH..
Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2023/2024) umepangwa kuanza rasmi Agosti 9, 2023 kwa mchezo wa…
YANGA YASHTUKA….NI KUHUSU DILI LA DJUMA NA BANGALA SIMBA….NABI AWAPA BIL 4 ZA BUREBURE…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti kama lilivyoandikwa leo Jumamosi ya 17/6/2023
ZA NDAAANII…BAADA YA MAYELE…BANGALA NAYE KUMFUATA NABI AFRIKA KUSINI….ISHU IKO HIVI..
Baada ya ya Kocha Nassredine Nabi kuondoka baada ya kumaliza mkataba wake Young Africans, sasa ni zamu ya kiungo mkabaji,…
IMALIZE SIKU YAKO KWA USHINDI MNONO KUPITIA SLOTI YA ODD ONE NDANI YA CASINO YA MERIDIANBET..
Kama wewe ni shabiki wa sloti za kizamani bila sahaka una chaguo pekee unapotembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, Sloti…
BAADA YA NABI KUSEPA…KAZE NAYE AIVIMBIA YANGA….AKATAA KUSAINI MKATABA…ATOA MASHARTI HAYA…
Kocha Msaidizi wa Young Africans, Mrundi Cedric Kaze amekataa kusaini mkataba mpya wa timu hiyo, akitoa masharti magumu kwa uongozi…