Trending Stories
View All
BAADA YA KUSIKIA SIMBA WANAKARIBIA KUMALIZANA NAYE…KIGOGO YANGA AKABIDHIWA MAKABI..
SASA rasmi uongozi wa Yanga umempa kazi Mtendaji Mkuu (CEO) wa timu hiyo, Mzambia Andrew Ntine ya kuhakikisha anafanikisha usajili…
SIMBA IJAYO NI UTAMU MWANZO MWISHO…..DILI LA MIQUISSONE ‘UPDATE’ HII HAPA…
IMEBAINIKA kuwa, uongozi wa Simba umelipitisha jina la Luis Jose Miquissone kuwa usajili wao mkubwa msimu ujao kupitia dirisha kubwa…
ALLY KAMWE: MAYELE ANASEPA YANGA….TIMU KUBWA DUNIANI ZINAMTAKA LEO KESHO…
UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, umepokea ofa nyingi kutoka timu mbalimbali zinazohitaji huduma ya nyota wao, Fiston Mayele raia…
HUYU HAPA KOCHA LA PASI MILIONI ANAYETAJWA KUTUA YANGA….SOKA LAKE NI ‘SUKARI TUPU’…
SIKU chache baada ya Yanga kutangaza kufikia makubaliano ya kuachana na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, imebainika kwamba, kila kukicha idadi…
WAKATI LEO WAKITANGAZA KUANZA ‘MABALAA’….KIGOGO SIMBA AFUNGUKA USAJILI WAO ULIVYO..
HUKU wakiendelea na ukarabati mkubwa wa kikosi chao kupitia usajili, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try…
WAZUNGU WALIOLETWA NA SIMBA BONGO WAANZA NA MZIZE….SILI LAKE LAPELEKWA KIMYA KIMYA..
KLABU ya West Armenia imeanza mazungumzo na kinda wa Yanga, Clement Mzize ili kuichezea timu hiyo msimu ujao. Timu hiyo…
KISA KUTAKA KUJIUNGA SIMBA….BANGALA ‘AFOKEANA’ NA MABOSI YANGA…ATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE…
YANGA imekubali kiroho safi kuachana na Kocha Nasreddine Nabi. Lakini kimeibuka kitu kingine ambacho ni zaidi ya kivumbi na jasho…
WAKATI ONYANGO AKISIKILIZIA KWA MBAALI…KANOUTE NA SIMBA JAMBO LIMEISHA….
Imefahamika kuwa makubaliano mazuri yamefikiwa kati ya Sadio Kanouté na Uongozi wa Simba SC kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya…
MAKABI LILEPO KAMA FEI TOTO TU….ATUMIA MBINU ZILE ZILE ILI ATUE BONGO….SAKATA LAKE LIKO HIVI..
Kiungo Mshambuliaji kutoka DR Congo na Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan Glody Makabi Lilepo rasmi ameomba kuondoka katika klabu…
KUHUSU MSIMU UJAO NA UHAKIKA WAKE WA KUBAKI….BANGALA AMTAJA KWANZA IBENGE…
Baada ya Kocha Nareddine Nabi kuondoka ndani ya Young Africans, kiungo wa kati wa timu hiyo, Mkongomani Yannick Banagla amesema…
NABI AZIDI KUANIKA SIRI ZA YANGA…AITAJA SIMBA WALIVYOUMIA…NEEMA ZAZIDI KUSHUKA MSIMBAZI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo asubuhi ya Jumatatu ya 19/6/2023.
KISA KUSHINDWA KUMLIPA KOCHA….FIFA KUIZUIA YANGA KUFANYA USAJILI…ISHU NZIMA IKO HIVI..
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara na Kombe la ASFC, Yanga wanaweza kukumbana na rungu la kufungiwa kusajili katika madirisha matatu…
KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA…..NABI ALITAKA KUSEPA NA FEI TOTO DILI LIKATIBUKA JIONIII…
Kocha Nasredine Nabi ameng’oa nanga Jangwani amegoma kuongezewa mkataba mpya na uongozi ukamtakia kila kheri tayari ameanza mazungumzo na vyuma…
INJINIA HERSI:- KUHUSU MASTAA WAPYA YANGA…NIKIPEWA JINA ZURI NAMWAGA PESA TU….
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, amepiga mkwara mzito kuhusu masuala ya usajili akiweka wazi kuwa jina lolote atakalopewa atafanyia…
SHINDA KIWEPESI ZAIDI NA SLOT YA 777 KUPITIA CASINO YA MERIDIANBET
Bila shaka habari hizi ukizisikia kwa mtu unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba, moja ya sloti rahisi kucheza na kupiga…
PAMOJA NA KUONDOKA ZAKE …HIVI NDIVYO NABI ALIVYOAIJAZA MABILIONI AKAUNTI YA YANGA..
KOCHA Nasreddine Nabi amemalizana na Yanga baada ya kugoma kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha timu hiyo aliyoifanya iwe tishio,…